-
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran: Gaza imekuwa gereza kubwa zaidi la wazi duniani
Jan 20, 2024 13:49Makamu wa kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika kikao cha Harakati ya Nchi Zisizofungamano ya Siasa za Upande Wowote (NAM) kinachofanyika Kampala nchini Uuganda kwamba: Mzingiro wa muda mrefu wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ukanda wa Ghaza umelifanya eneo hilo kuwa jela kubwa zaidi ya wazi duniani.
-
Kikao cha leo cha wakuu wa NAM Uganda; Iran yataka jumuiya hiyo itilie mkazo kuihami Palestina
Jan 19, 2024 07:38Mkutano wa 19 wa wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote NAM unafanyika leo katika mji mkuu wa Uganda, Kamapala huku Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ikiwataka wanachama wa jumuiya hiyo kutilia mkazo uungaji mkono wao kwa taifa linalodhulumiwa la Palestina.
-
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran kushiriki mkutano wa NAM Uganda
Jan 19, 2024 03:31Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anatazamiwa kwenda Kampala, mji mkuu wa Uganda kuhudhuria Mkutano wa 19 wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM).
-
Watu kadhaa wauawa katika shambulizi la ADF nchini Uganda
Dec 20, 2023 03:04Kwa akali watu watano wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika shambulizi linaloshukiwa kufanywa na waasi wa kundi linalojiita Allied Democratic Forces (ADF) magharibi mwa Uganda.
-
Soka Afrika: Uganda kidedea Cecafa U18
Dec 09, 2023 11:14Timu ya taifa ya soka ya vijana ya Uganda imebuka kidedea baada ya kuichabanga Kenya mabao 2-1 katika fainali ya Mashindano ya Kandanda ya Kanda ya Afrika Mashariki na Kati Cecafa kwa vijana wenye chini ya miaka 18.
-
Mama wa miaka 70 Uganda awa mwanamke mkongwe zaidi kujifungua Afrika
Dec 01, 2023 06:47Ajuza wa miaka 70 huko nchini Uganda ameingia katika madaftari ya kumbukumbu kwa kuwa mwanamke wa kwanza mwenye umri mkubwa kujifungua barani Afrika.
-
Uganda yataja onyo la Marekani dhidi yake kuwa kichekesho
Oct 25, 2023 07:36Uganda imekejeli na kukosoa tahadhari iliyotolewa na Marekani iliyodai kuwa ni hatari kufanya biashara na kuwekeza katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Jumatatu, tarehe 9 Oktoba, 2023
Oct 09, 2023 02:32Leo ni Jumatatu tarehe 23 Rabiul Awwal 1445 Hijria inayosadifiana na Oktoba 9 mwaka 2023.
-
Bobi Wine, kiongozi wa upinzani Uganda atiwa mbaroni
Oct 05, 2023 13:33Kwa mara nyingine tena, mwanasiasa wa upinzani nchini Uganda ambaye pia alikuwa mgombea urais wa chama cha upinzani cha NUP katika uchaguzi uliopita, Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine, amekamatwa mjini Entebbe.
-
Waislamu Uganda wafanya matembezi kuadhimisha Ashura ya Imam Hussein AS
Jul 28, 2023 12:21Waislamu wa medhehebu ya Shia na wapenzi wa Imam Hussein AS huko Uganda wamefanya matembezi ya amani mashariki mwa nchi hiyo, kwa mnasaba wa maombolezo ya Ashura ya Bwana huyo wa Mashahidi.