-
Uganda, Sudan Kusini kupambana na wizi wa mifugo
Jul 04, 2016 03:22Serikali za Uganda na Sudan Kusini zimeafikiana kupambana na wizi wa mifugo na haswa ng'ombe unaofanyika mara kwa mara katika vijiji vilivyoko mpakani mwa nchi mbili hizo.
-
Rais Museveni: Waasi wa ADF ndio wanaowaua Wanazuoni wa Kiislamu
Jul 01, 2016 03:26Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema kundi la waasi la ADF-Nalu, linaloendeleza harakati zake mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ndilo limehusika na mauaji ya hivi karibuni ya viongozi na wasomi wa Kiislamu nchini Uganda.
-
UNICEF yatahadharisha kuhusiana na vifo vya watoto nchini Uganda
Jun 29, 2016 08:46Mwakilishi wa Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF ametahadharisha kuhusiana na vifo vya watoto nchini Uganda.
-
Jeshi la Uganda laamua kuondoa vikosi vyake CAR
Jun 29, 2016 02:49Jeshi la Uganda limechukua uamuzi wa kuondoa wanajeshi wake huko Jamhuri ya Afrika ya Kati ili kusaidia jitihada za kuwaangamiza waasi wa Uganda.
-
Uganda yatangaza tarehe ya kuondoa askari wake Somalia
Jun 24, 2016 09:56Uganda imetangaza kuwa itaondoa askari wake walioko nchini Somalia chini ya mwavuli wa Kikosi cha Kusimamia Amani cha Umoja wa Afrika AMISOM kufikia mwishoni mwa mwaka ujao 2017.
-
Ombi la Uganda kwa Algeria
Jun 18, 2016 06:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda ameiomba Algeria iiunge mkono nchi hiyo katika kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utekelezaji ya Umoja wa Afrika.
-
Waasi wa Uganda waendelea kufanya uhalifu CAR
Jun 17, 2016 03:53Mkuu wa mkoa wa mashariki mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati ametangaza kuwa waasi wa kundi la Lord's Resistance Army (LRA) kutoka Uganda wameteka nyara watu 17 na kuwapeleka kusikojulikana.
-
Uganda kuondoa askari wake wanaowasaka waasi wa LRA, nchini CAR
Jun 10, 2016 23:48Uganda imesema karibuni hivi itawaondoa askari wake wanaoongoza katika operesheni ya kuwasaka waasi wa Lord's Resistance Army (LRA) katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Uganda kusitisha ushirikiano wa kijeshi na Korea Kaskazini
May 30, 2016 00:04Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema karibuni hivi nchi yake itasitisha ushirikiano wa kijeshi na kiusalama na Korea Kaskazini.
-
Iran yafadhili mashindano ya Qur'ani katika Televisheni ya Uganda
May 28, 2016 23:43Kitengo cha Utamaduni cha Iran nchini Uganda kimefadhili mashindano ya Qur'ani Tukufu katika Televisheni ya Taifa ya nchi hiyo, UBC.