-
Kenya yakanusha ripoti ya UN ya kuua raia 29 Somalia
Jul 08, 2016 23:51Kenya imekanusha vikali ripoti ya Umoja wa Mataifa inayodai kuwa Jeshi la Ulinzi la nchi hiyo KDF liliua raia wapatao 29 katika hujuma ya anga iliyolifanya baada ya wanamgambo wa al-Shabaab kuvamia kambi ya jeshi hilo katika eneo la El-Adde nchini Somalia Januari mwaka huu na kuua idadi kubwa ya askari wa Kenya waliokuwa chini ya kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM).
-
UN yalaani mauaji ya wakili wa haki za binadamu Kenya
Jul 06, 2016 00:02Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imelaani vikali mauaji ya wakili wa haki za binadamu nchini Kenya Bwana Willie Kimani, mteja wake Josphat Mwenda, na dereva wao wa taxi Joseph Muiruri, yaliyofanyika Juni 23.
-
Sudan: Kuongezwa muda vikosi vya UNAMID ni mkinzano
Jul 01, 2016 03:29Kwa mara nyingine tena serikali ya Sudan imekosoa vikali hatua ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuongeza muda wa kuhudumu vikosi vya kimataifa vya kusimamia amani huko Daruf UNAMID kwa mwaka mmoja zaidi.
-
UN yaongeza askari 2,500 wa kulinda amani nchini Mali
Jun 30, 2016 02:53Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeafiki kuongezwa askari 2,500 wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Mali MINUSMA ambapo kikosi hicho sasa kitakuwa na jumla ya askari jeshi 13,289 na askari polisi 1,920.
-
Wasiwasi kuhusu ukatili wa Israel dhidi ya watoto Wapalestina
Jun 26, 2016 02:50Kufuatia kushadidi ukatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya watoto Wapalestina, kumekuwepo wasiwasi na malalamiko makubwa miongoni mwa Wapalestina na jamii ya kimataifa.
-
UN: Israel inafanya ukatili dhidi ya watoto wa Palestina
Jun 25, 2016 08:22Umoja wa Mataifa umeeleza wasiwasi wake kuhusu ukatili unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya watoto wa Kipalestina.
-
UN: Zaidi ya madaktari na wauguzi 700 wameuawa Syria
Jun 21, 2016 23:35Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa madaktari na wauguzi zaidi ya 700 wameuawa nchini Syria tangu nchi hiyo iliposhambuliwa na mamluki wanaosaidiwa na nchi kadhaa za kigeni miaka mitano iliyopita.
-
Angola, Misri kuishawishi UN kuziondolea vikwazo CAR na S/Kusini
Jun 21, 2016 23:34Angola na Misri zimesema zitazishawishi nchi wanachama wasio wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa zikubali wazo la kuondolewa vikwazo Jamhuri ya Afrika ya Kati na Sudan Kusini.
-
Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu kuongezeka wakimbizi duniani
Jun 21, 2016 11:26Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) limetoa ripoti mpya sambamba na kuadhimishwa Siku ya Wakimbizi Duniani na kutangaza kuwa hadi mwishoni mwa mwaka uliopita wa 2015 idadi ya wakimbizi ilikuwa zaidi ya watu milioni 65.
-
Dunia yaendelea kuikosoa Bahrain kwa kumvua uraia Sh. Isa Qassim
Jun 21, 2016 10:28Hatua ya utawala wa Bahrain kumvua uraia mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu Ayatullah Sheikh Isa Qassim, imeendelea kulaaniwa na asasi mbalimbali duniani, shakhsia mashuhuri na jamii ya kimataifa kwa ujumla.