-
Amnesty yatiwa wasiwasi na ukandamizaji na kamatakamata Uturuki
Jul 25, 2016 03:36Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeeleza masikitiko yake juu ya kukithiri ukandamizaji, kamata kamata na ukiukaji wa haki za binadamu nchini Uturuki, baada ya jaribio la mapinduzi ya kijeshi lililofeli.
-
Jumapili Julai 24, 2016
Jul 25, 2016 01:33Leo ni Jumapili tarehe 19 Shawwal mwaka 1437 Hijria, inayosadifiana na tarehe 24 Julai 2016 Miladia.
-
Askari kadhaa walichinjwa hadharani Uturuki baada ya jaribio la mapinduzi
Jul 23, 2016 12:36Duru za habari nchini Uturuki zimeripoti kwamba, askari waliojaribu kufanya mapinduzi ya kijeshi yaliyofeli hivi karibuni nchini Uturuki, walikubwa na ukatili wa kutisha ikiwemo kuuawa, kuchinjwa au kukatwa viungo vyao vya mwili.
-
Jaribio la mapinduzi Uturuki; 50,000 wakamatwa na kupigwa kalamu
Jul 20, 2016 03:07Jaribio la mapunduzi ya kijeshi lililofeli nchini Uturuki limesababisha wafanyakazi 45,000 wa serikali kupigwa kalamu nyekundu huku wengine zaidi ya 5,000 wakizuiliwa kwa tuhuma za kuhusika na mapinduzi hayo.
-
Amoli Larijani: Uislamu hauna uhusiano na ugaidi
Jul 18, 2016 09:30Mkuu wa Vyombo vya Mahakama vya Iran amesema Uislamu hauna uhusiano na ugaidi na kuongeza kuwa kile kinachodaiwa kuwa ni 'Ugaidi wa Kiislamu' ni fikra ya Wamagharibi ambao wanaunga mkono kundi la kigaidi la ISIS au Daesh na makundi mengine ya wakufurishaji.
-
Assad: Huenda Erdogan atatumia 'mapinduzi' kuwaondoa maadui serikalini
Jul 18, 2016 03:05Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema huenda Rais Reccep Teyyip Erdogan wa Uturuki akatumia jaribio la mapinduzi yaliyofeli kuwaadhibu na kuwaondoa serikalini wakosoaji na wapinzani wake.
-
Hatima ya TV za Ikhwanul Muslimin nchini Uturuki haijulikani
Jul 16, 2016 23:37Vyombo vya habari vya Misri vimetangaza kuwa, hatima ya televisheni za kundi la Ikhwanul Muslimin zilizokuwa zinarusha matangazo yake nchini Uturuki, haijulikani.
-
Jaribio la Mapinduzi ya Kijeshi Uturuki, Rais Erdogan Aapa kuwaadhibu wahusika
Jul 15, 2016 23:23Kumejiri jaribio la mapinduzi ya kijeshi nchini Uturuki Ijumaa usiku huku watu 42 wakiripotiwa kupoteza maisha katika mji mkuu Ankara na Rais ReccepTayyib Erdogan akisema jaribio hilo limeshindwa.
-
Jesi la Uturuki lasema limechukua madaraka ya nchi ili kulinda demokrasia
Jul 15, 2016 17:21Jeshi la Uturuki limesema kuwa, limechukua madaraka ya nchi hiyo na kuiondoa madarakani serikali ya Rais Recep Tayyip Erdogan na kwamba litalinda utawala wa sheria nchini humo.
-
Iran yalaani hujuma ya kigaidi Istanbul, Uturuki
Jun 29, 2016 23:02Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali mashambulizi ya kigaidi dhidi ya uwanja wa ndege mjini Istambul nchini Uturuki, yaliyosababisha vifo vya makumi ya watu na wengine wengi kujeruhiwa.