-
Ban Ki-moon alaani mashambulizi ya kigaidi huko Istanbul Uturuki
Jun 29, 2016 02:56Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani mashambulizi ya kigaidi yaliyofanywa kwenye uwanja wa ndege wa Istanbul Uturuki.
-
Wapaestina wakasirishwa na kufufuliwa uhusiano wa Israel na Uturuki
Jun 28, 2016 02:49Wananchi wa Palestina inayokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel wameghadhabishwa na hatua ya Uturuki kuhuisha uhusiano wake wa kidiplomasia na utawala huo, baada ya kuukatiza zaidi ya miaka mitano iliyopita.
-
Russia: Tupo tayari kufanya mazungumzo na Uturuki
Jun 23, 2016 22:37Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imesema kuwa Moscow ipo tayari kufanya mazungumzo na maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki.
-
Muhammad Ali kuzikwa leo, rais wa Uturuki na mfalme wa Jordan kutohutubia
Jun 09, 2016 23:33Nguli wa masumbwi duniani marehemu Muhammad Ali anatazamiwa kuzikwa leo Ijumaa katika mji wa Louisville jimbo la Kentucky nchini Marekani.
-
11 Wauawa katika mlipuko wa bomu Istanbul
Jun 07, 2016 09:50Mji wa Istanbul nchini Uturuki umekumbwa na mlipuko wa bomu ambapo watu 11 wameripotiwa kupoteza maisha na wengine 36 kujeruhiwa.
-
Uturuki kufungua kituo cha kijeshi nchini Somalia
Jun 04, 2016 00:02Serikali ya Uturuki imefungua ubalozi mpya nchini Somalia na kuahidi kufungua kituo cha kutoa mafunzo ya kijeshi katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika karibuni hivi.
-
Kenya na Uturuki zakubaliana kushirikiana katika kubadilishana taarifa za usalama
Jun 03, 2016 02:53Marais wa Kenya na Uturuki wamekubaliana nchi zao mbili kushirikiana katika kubadilishana taarifa za usalama na za kiintelijinsia kwa lengo la kuzima uwezekano wa kutokea mashambulio ya kigaidi.
-
Russia: Njia pekee kwa Uturuki ni kuomba radhi
May 30, 2016 11:00Msemaji wa Rais wa Russia amesema kuwa kuomba radhi ndio njia pekee iliyonayo Uturuki.
-
Waziri Mkuu mpya Uturuki aahidi kuongezewa mamlaka rais
May 22, 2016 11:50Binali Yildirim, Waziri wa Uchukuzi wa Uturuki ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa chama tawala AKP sambamba na kuwa Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo kuchukua nafasi ya Ahmet Davutoğlu.
-
Magaidi kadhaa wa Daesh watibiwa nchini Uturuki
May 14, 2016 23:22Baadhi ya wanamgambo wa genge la kigaidi la Daesh hivi karibuni wamepatiwa matibabu kwa siri katika hospitali moja ya mji wa Gaziantep nchini Uturuki, karibu na mpaka wa nchi hiyo na Syria.