Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

wameuawa

  • Jeshi la Kenya laua wanachama 4 wa al-Shabaab, Lamu

    Jeshi la Kenya laua wanachama 4 wa al-Shabaab, Lamu

    Jun 30, 2016 03:34

    Askari wa Kenya wamewaangamiza wanamgambo wanne wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katika kaunti ya Lamu.

  • Makumi wauawa katika mapigano kati ya jeshi na waasi Sudan Kusini

    Makumi wauawa katika mapigano kati ya jeshi na waasi Sudan Kusini

    Jun 29, 2016 13:23

    Makumi ya watu wameuawa katika wimbi jipya la mapigano kati ya askari wa jeshi la serikali na waasi katika mji wa Wau nchini Sudan Kusini.

  • 46 waua na kujeruhiwa katika hujuma dhidi ya msikiti Iraq

    46 waua na kujeruhiwa katika hujuma dhidi ya msikiti Iraq

    Jun 28, 2016 06:28

    Makumi ya watu wameuawa na kujeruhiwa katika hujuma ya kigaidi dhidi ya msikiti mmoja viungani mwa Baghdad, mji mkuu wa Iraq.

  • Mwangwi wa mauaji ya mbunge wa Uingereza

    Mwangwi wa mauaji ya mbunge wa Uingereza

    Jun 18, 2016 06:30

    Mauaji ya Jo Cox, mbunge wa Chama cha Labour katika Bunge la Uingereza yamezusha malalamiko makubwa ndani na nje ya nchi hiyo na kulitia wahka na hofu kubwa bunge hilo.

  • Eritrea yadai kuwa imeua askari 200 wa Ethiopia

    Eritrea yadai kuwa imeua askari 200 wa Ethiopia

    Jun 17, 2016 04:41

    Eritrea imedai kuwa imeua mamia ya askari wa Ethiopia katika mapigano mapya yanayoendelea katika mpaka wa nchi mbili hizo za Pembe ya Afrika.

  • HRW: Watu 400 wameuawa katika maandamano dhidi ya serikali Ethiopia

    HRW: Watu 400 wameuawa katika maandamano dhidi ya serikali Ethiopia

    Jun 16, 2016 15:31

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema mamia ya watu wameuawa katika maandamano ya wananchi dhidi ya serikali ya Ethiopia, kuanzia Novemba mwaka jana hadi sasa.

  • Mauaji ya kutisha Orlando, Marekani

    Mauaji ya kutisha Orlando, Marekani

    Jun 13, 2016 07:54

    Watu wasiopungua 50 wameuawa na wengine 53 kujeruhiwa katika ufyatuaji wa risasi uliotokea katika jimbo la Florida nchini Marekani.

  • Raia 30 wauawa katika hujuma ya Daesh nchini Iraq

    Raia 30 wauawa katika hujuma ya Daesh nchini Iraq

    Jun 11, 2016 07:06

    Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa wimbi la hujuma za kitatili na za ulipizaji kisasi za Daesh (ISIS), wanachama wa kundi la hilo la kigaidi na kitakfiri wamewaua kwa kufyatulia risasi raia zaidi ya 30 magharibi mwa mji wa Fallujah, mkoa wa al-Anbar.

  • AMISOM yaangamiza wanachama 110 wa al-Shabaab Somalia

    AMISOM yaangamiza wanachama 110 wa al-Shabaab Somalia

    Jun 09, 2016 14:10

    Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM kimesema askari wake wamefanikiwa kuangamiza makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab walipojaribu kushambulia moja ya kambi zao.

  • Jeshi la Niger laangamiza wanachama 12 wa Boko Haram

    Jeshi la Niger laangamiza wanachama 12 wa Boko Haram

    May 29, 2016 14:17

    Jeshi la Niger limetangaza kuwa limeangamiza wanachama 12 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram katika kijiji cha Bosso, kusini mashariki mwa eneo la Diffa karibu na mpaka na Nigeria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS