Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

wapinzani

  • Kushadidi hatua za wapinzani wa kisiasa Kongo dhidi ya serikali

    Kushadidi hatua za wapinzani wa kisiasa Kongo dhidi ya serikali

    Aug 14, 2016 03:05

    Hatua za kupinga serikali za wapinzani wa kisiasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimepamba moto tangu kurejea nchini mwanasiasa mkongwe ambaye pia ni kiongozi wa upinzani nchini humo mzee Etienne Tshisekedi.

  • Besigye amtaka Mkuu wa Polisi Uganda ajiuzulu

    Besigye amtaka Mkuu wa Polisi Uganda ajiuzulu

    Aug 11, 2016 14:30

    Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Dakta Kizza Besigye amemtaka Mkuu wa Polisi nchini humo ajiuzulu mara moja, kufuatia kesi ya jinai inayomkabili.

  • Upinzani Zambia: Uchaguzi mkuu hautakuwa huru na wa haki

    Upinzani Zambia: Uchaguzi mkuu hautakuwa huru na wa haki

    Aug 08, 2016 03:01

    Kinara wa upinzani nchini Zambia ameituhumu serikali ya nchi hiyo kuwa inatumia sheria kandamizi ili kuwawekea mbinyo wapinzani na kuzuia kampeni zao, na kusisitiza kuwa uchaguzi mkuu wa Alkhamisi ijayo hautakuwa huru na wa haki.

  • Katumbi: Uchaguzi Kongo DR unapasa kufanyika kama ilivyopangwa

    Katumbi: Uchaguzi Kongo DR unapasa kufanyika kama ilivyopangwa

    Aug 03, 2016 02:24

    Kiongozi wa upinzani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye sasa yupo uhamisoni amesema uchaguzi wa Rais nchini humo ni lazima ufanyike katika muda ulioainishwa.

  • Waziri: Makubaliano ya amani Sudan Kusini yamevunjika

    Waziri: Makubaliano ya amani Sudan Kusini yamevunjika

    Aug 02, 2016 07:24

    Mgogoro wa kisiasa nchini Sudan Kusini umechukua mwelekea mpya baada ya Waziri wa Kilimo wa nchi hiyo kutoka upande wa upinzani kujiuzulu na kusisitiza kuwa makubaliaono ya amani yaliyosainiwa na pande mbili yamevunjika.

  • Rais wa Gabon awatahadharisha wapinzani wake

    Rais wa Gabon awatahadharisha wapinzani wake

    Aug 01, 2016 07:29

    Rais wa Gabon amewatahasharisha wapinzani wa serikali yake kuhusu kuzusha machafuko wakati wa uchaguzi.

  • Bahrain yavunja chama cha Kiislamu cha al-Wefaq

    Bahrain yavunja chama cha Kiislamu cha al-Wefaq

    Jul 17, 2016 15:54

    Mahakama moja nchini Bahrain imekivunja chama kikuu cha upinzani nchini humo cha al-Wefaq, mwezi mmoja baada ya serikali ya Manama kusimamisha shughuli za chama hicho.

  • Mkuu wa upinzani DRC apuuza waranti ya kukamatwa dhidi yake

    Mkuu wa upinzani DRC apuuza waranti ya kukamatwa dhidi yake

    Jul 05, 2016 13:22

    Moise Katumbi, kinara wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amepuuzilia mbali waranti ya kukamatwa iliyotolewa dhidi yake na serikali ya nchi hiyo na kusema kuwa atarejea nchini karibuni hivi kwa ajili ya kuwania urais.

  • Serikali na wapinzani wakabana koo Madagascar

    Serikali na wapinzani wakabana koo Madagascar

    Jun 27, 2016 16:03

    Serikali ya Madagascar na wapinzani wake wanatuhumiana kuhusika na mlipuko uliotokea katika mji mkuu wa nchi hiyo.

  • Mkuu wa upinzani Kongo DR ahukumiwa miaka 3 jela

    Mkuu wa upinzani Kongo DR ahukumiwa miaka 3 jela

    Jun 23, 2016 07:54

    Mahakama moja katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imemhukumu miaka mitatu jela, kinara wa upinzani nchini humo ambaye pia ni mgombea wa urais katika uchaguzi mkuu ujao, Moise Katumbi, aliyekuwa anakabiliwa na tuhuma za mauzo ya nyumba kinyume cha sheria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS