-
Wapinzani kuandamana dhidi ya serikali nchini Zimbabwe
Nov 27, 2018 08:01Chama kikuu cha upinzani nchini Zimbabwe kimetangaza Alkhamisi ya kesho kutwa kuwa siku ya kufanya maandamano ya kitaifa dhidi ya serikali.
-
Tshisekedi na Kamerhe wajiondoa kwenye muungano wa upinzani Kongo
Nov 14, 2018 03:20Baada ya kushinikizwa na wafuasi wao, viongozi wawili wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamesalimu amri na kujiondoa kwenye muungano mpya wa upinzani uliotangaza mgombea mmoja mwishoni mwa wiki.
-
Mkutano wa kwanza mkubwa wa hadhara wa waungaji mkono wa serikali wafanyika DRC
Oct 28, 2018 16:07Makumi ya maelfu ya wafuasi wa Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameshiriki kwenye mkutano wa kwanza mkubwa wa hadhara wa muungano wa vyama tawala ili kusikiliza hotuba za mgombea wao katika uchaguzi wa rais unaotarajiwa kufanyika mwezi Disemba mwaka huu.
-
Upizani Zimbabwe: Rais Mnangagwa hana uhalali wa kuongoza
Oct 24, 2018 02:52Kiongozi wa chama cha upinzani cha MDC nchini Zimbabwe, Nelson Chamisa ametoa mwito wa kuundwa Mamlaka ya Kitaifa ya Mpito akisisitiza kuwa hiyo ndiyo njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mgogoro kuhusu uhalali wa serikali ya Rais Emmerson Mnangagwa.
-
Mkosoaji mkubwa wa Rais Kagame wa Rwanda, Diane Rwigara aachiwa huru
Oct 05, 2018 15:24Vyombo vya Mahakama nchini Rwanda vimemuachia huru kwa dhamana mwanasiasa wa upinzani na mkosoaji mashuhuri wa Rais Paul Kagame wa nchi hiyo Diane Rwigara, ingawaje kwa masharti.
-
Upinzani Burundi wataka kufikia tamati mazungumzo ya amani
Sep 09, 2018 07:21Viongozi wa upinzani nchini Burundi wametaka mazungumzo ya amani yanayotazamiwa kufanyika baadaye mwezi huu kuwa ya mwisho.
-
Kiongozi wa upinzani Mali alalamikia matokeo ya duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais
Aug 06, 2018 08:05Kiongozi wa kambi ya upinzani nchini Mali amelalamikia matokeo ya duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais na ameamua kupeleka mashtaka mahakamani.
-
Upinzani, fujo na machafuko yaendelea baada ya uchaguzi nchini Zimbabwe.
Aug 04, 2018 15:51Kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe ameyakataa matokeo ya uchaguzi wa rais akisema ni ya "uongo".
-
Polisi nchini Zimbabwe yamtia mbaroni kiongozi wa upinzani
Jun 26, 2018 15:28Kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe amekamatwa na polisi ya nchi hiyo baada ya kushinikiza kujiuzulu kwa mkuu wa Tume ya Uchaguzi, mwezi mmoja kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu nchini humo.
-
Upinzani Ivory Coast: Hatutaruhusu Ouattara agombee muhula wa tatu
Jun 05, 2018 03:07Muungano wa upinzani nchini Ivory Coast umesema hautaruhusu mpango wowote wa kumruhusu Rais Alassane Ouattara wa nchi hiyo kugombea muhula wa tatu.