Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Zimbabwe

  • Watatu wauawa Zimbabwe, askari usalama wapambana na wapinzani wanaopinga matokeo ya uchaguzi

    Watatu wauawa Zimbabwe, askari usalama wapambana na wapinzani wanaopinga matokeo ya uchaguzi

    Aug 02, 2018 08:07

    Polisi ya Zimbabwe imesema watu watatu waliuawa jana wakati askari walipokuwa wakiwatawanya wafuasi wa upinzani waliokuwa wakirembea mawe huku wakikituhumu chama tawala cha Zanu-PF kuwa kinajaribu kuchakachua matokeo ya uchaguzi uliofanyika siku ya Jumatatu.

  • Askari wapambana na wafuasi wa upinzani Zimbabwe huku ZANU-PF ikipata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa bunge

    Askari wapambana na wafuasi wa upinzani Zimbabwe huku ZANU-PF ikipata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa bunge

    Aug 01, 2018 16:37

    Milio ya risasi ya bunduki za otomatiki imesikika katika mitaa ya mji mkuu wa Zimbabwe, Harare leo wakati askari walipoingilia kati kuwatawanya waandamanaji waliopambana na polisi baada ya kiongozi mkuu wa upinzani kukituhumu chama tawala cha Zanu-PF kuwa kinajaribu kuyachakachua matokeo ya uchaguzi.

  • Mnangagwa na Chamisa wasema wana matumaini ya kushinda uchaguzi wa Rais Zimbabwe

    Mnangagwa na Chamisa wasema wana matumaini ya kushinda uchaguzi wa Rais Zimbabwe

    Jul 31, 2018 15:58

    Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe na mgombea wa chama cha MDC, Mchungaji Nelson Chamisa wamesema wote kuwa wana matumaini ya kushinda katika uchaguzi wa rais uliofanyika jana nchini humo.

  • Uchaguzi wa Rais Zimbabwe waanza, Mugabe akipa mgongo chama tawala

    Uchaguzi wa Rais Zimbabwe waanza, Mugabe akipa mgongo chama tawala

    Jul 30, 2018 08:16

    Mamilioni ya wananchi wa Zimabwe wameelekea kwenye masanduku ya kupigia kura katika uchaguzi wa kwanza wa rais ambao haumshirikishi kiongozi mkongwe wa nchi hiyo, Robert Mugabe tangu Zimbabwe ipate Uhuru mwaka 1980.

  • UN: Wapiga kura wanatishiwa Zimbabwe kuelekea uchaguzi mkuu

    UN: Wapiga kura wanatishiwa Zimbabwe kuelekea uchaguzi mkuu

    Jul 24, 2018 16:24

    Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imeelezea wasiwasi mkubwa ilionao kuhusu kukithiri visa vya wapiga kura kutishiwa maisha nchini Zimbabwe, baadhi yao wakilazimishwa kushiriki mikutano wa kisiasa, zikiwa zimesalia siku chache wananchi waelekee katika masanduku ya kupigia kura kuwachagua viongozi wao.

  • Mnangagwa: Wakulima wazungu wasiwe na hofu kuhusu ardhi zao

    Mnangagwa: Wakulima wazungu wasiwe na hofu kuhusu ardhi zao

    Jul 22, 2018 07:23

    Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe amewafahamisha wakulima wazungu nchini humo kuwa zama za kuchukuliwa kwa nguvu ardhi zao zimemalizika huku akiwataka wafanye kazi pamoja na serikali yake.

  • Maandamano dhidi ya chama tawala yafanyika Zimbabwe

    Maandamano dhidi ya chama tawala yafanyika Zimbabwe

    Jul 12, 2018 04:11

    Maelfu ya wafuasi wa upinzani jana Jumatano walijitokeza mabarabarani kushiriki maandamano dhidi ya chama tawala nchini Zimbabwe Zanu-pf katika mji mkuu Harare.

  • Washukiwa wawili watiwa nguvuni kuhusiana na mlipuko wa Zimbabwe

    Washukiwa wawili watiwa nguvuni kuhusiana na mlipuko wa Zimbabwe

    Jul 04, 2018 13:55

    Polisi nchini Zimbabwe imewatia mbaroni washukiwa wawili kuhusiana na mlipuko wa guruneti ulioua watu wawili na kuwajeruhi wengine 47 katika mkutano wa kampeni wa Rais Emmerson Mnangagwa mwezi uliopita.

  • Mnangagwa ailaumu G40 inayomuunga mkono Grace Mugabe kwa mripuko

    Mnangagwa ailaumu G40 inayomuunga mkono Grace Mugabe kwa mripuko

    Jun 28, 2018 03:31

    Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe amesema anashuku huenda kundi la G40 linalomuunga mkono Grace Mugabe, mke wa aliyekuwa rais wa nchi hiyo ndilo lililohusika katika kile anachokitaja kama jaribio la mauaji dhidi yake katika mji wa Bulawayo Jumamosi iliyopita.

  • Polisi nchini Zimbabwe yamtia mbaroni kiongozi wa upinzani

    Polisi nchini Zimbabwe yamtia mbaroni kiongozi wa upinzani

    Jun 26, 2018 15:28

    Kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe amekamatwa na polisi ya nchi hiyo baada ya kushinikiza kujiuzulu kwa mkuu wa Tume ya Uchaguzi, mwezi mmoja kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS