-
Zambia kujinaisha matumizi ya sarafu ya dola
Jul 03, 2024 03:13Benki Kuu ya Zambia imeandaa rasimu ya kanuni mpya zinazokusudia kuzuia matumizi ya sarafu za kigeni hususan dola ya Marekani katika miamala ya biashara ya ndani ya nchi.
-
Ripoti: Kiwango cha wawekezaji wa nje barani Afrika kimeshuka
Jul 03, 2024 00:17Imeelezwa kuwa, Afrika haikuvutia sana uwekezaji wa kigeni mwaka jana (2023) na makubaliano ya kifedha yalishuka kwa asilimia 50 mpaka dola bilioni 64, kwa mujibu wa ripoti mpya.
-
Maandamano ya vijana Kenya yaendelea, waandamanaji wamtaka Rais Ruto aondoke madarakani
Jul 02, 2024 11:23Vijana wa Kenya, wengi wao wakiwa Generation Z, wamerejea barabarani katika maandamano yaliyopewa jina la #OccupyEverywhere dhidi ya utawala wa Rais William Ruto.
-
Baraza jipya la mawaziri la Misri kuapishwa Jumatano
Jul 02, 2024 08:59Baraza jipya la mawaziri na magavana wa Misri wataapishwa katika Ikulu ya Rais ya Ittihadyiya mjini Cairo kesho Jumatano.
-
Shambulio la RSF laua watu 8 wa familia moja msikitini Sudan
Jul 02, 2024 02:40Watu wanane wa familia moja wameripotiwa kuuawa katika shambulio linalodaiwa kufanywa na wapiganaji wa kundi la Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) magharibi mwa Sudan.
-
Malik Agar: Kuporomoka kwa Sudan ni hatari kwa nchi zote za kanda hii
Jul 02, 2024 00:41Malik Agar, Makamu wa Rais wa Baraza la Utawala wa Sudan, ameonya juu ya hatari ya kuporomoka kwa Sudan, ambayo haitakuwa kwa nchi hiyo pekee, bali athari zake mbaya zitaenea katika nchi jirani na kwingineko.
-
IOM: Wahamiaji 303 waliokamatwa Libya wamerejeshwa walikotoka katika kipindi cha wiki moja
Jul 01, 2024 23:29Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) lilitangaza jana Jumatatu kwamba, jumla ya wahamiaji haramu 303 waliokamatwa nchini Libya wamereshwa katika nchi zao za asili kwenye kipindi cha wiki moja iliyopita wakiwemo Wabangladeshi 162.
-
Maseneta wa Kenya wamgomea Rais Ruto mpango wa kupunguza matumizi ya serikali
Jul 01, 2024 07:26Rais William Ruto wa Kenya anakabiliwa na changamoto kubwa katika juhudi zake za kupunguza matumizi ya serikali ili kuziba pengo la bajeti la shilingi bilioni 346 huku maseneta wakiapa kukataa kupunguzwa kwa pesa za mgao wa kaunti.
-
Jeshi la Sudan lakomboa Sinja, mapigano yalazimisha watu 55,000 kukimbia
Jul 01, 2024 06:56Jeshi la Sudan limetangaza kuwa limefanikiwa kudhibiti wa makao makuu ya kitengo cha 17 cha jeshi la nchi kavu, makao makuu ya Brigedia ya 67, na vitongoji vyote vya kusini na mashariki vya mji wa Sinja, makao makuu ya Jimbo la Sennar kusini-mashariki mwa Sudan.
-
Tume: Watu milioni 9.7 wametimiza masharti ya kupiga kura nchini Rwanda
Jul 01, 2024 02:20Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Rwanda imetoa orodha ya mwisho ya wapiga kura, ikionyesha kwamba watu milioni 9.7 wametimiza masharti ya kushiriki katika uchaguzi wa mwezi huu wa Julai wa kuchagua rais na wabunge katika wilaya 30 za Rwanda na Wanyarwanda wanaoishi nje ya nchi.