Matukio
  • Ulimwengu wa Spoti, Dec 29

    Ulimwengu wa Spoti, Dec 29

    Dec 29, 2025 07:04

    Hujambo mpenzi mskilizaji na hususan mfuatiliaji wa matukio ya spoti na karibu katika kipindi chetu cha mwisho mwaka huu 2025, tuangazie baadhi ya matukio muhimu ya michezo yaliyoshuhudiwa ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbali mbali za dunia ikiwemo michuano ya AFCON inayoendelea kurindima nchini Morocco.

  • Ulimwengu wa Spoti, Dec 22

    Ulimwengu wa Spoti, Dec 22

    Dec 22, 2025 08:26

    Hujambo mpenzi mskilizaji na karibu tuangazie baadhi ya matukio makubwa ya spoti yaliyoshuhudiwa ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbali mbali za dunia ukiwemo ufunguzi wa michuano ya AFCON 2025 nchini Morocco.

  • Leo ni Ijumaa tarehe 19 Disemba 2025

    Leo ni Ijumaa tarehe 19 Disemba 2025

    Dec 19, 2025 03:31

    Leo ni Ijumaa tarehe 28 Jamadithani 1447 Hijria sawa na 19 Disemba 2025.

  • Ulimwengu wa Spoti, Dec 15

    Ulimwengu wa Spoti, Dec 15

    Dec 15, 2025 10:55

    Hujambo mpenzi mskilizaji na karibu tuangazie baadhi ya matukio makubwa yaliyojiri viwanjani ndani ya siku saba zilizopita kote duniani.

  • Ulimwengu wa Michezo

    Ulimwengu wa Michezo

    Dec 11, 2025 09:04

    Karibuni mashabiki na wapenzi wa michezo popote pale mlipo katika kipindi chenu hiki cha Ulimwengu wa Michezo kutoka Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran. Leo kapu letu la habari za michezo limesheheni habari kemkem kama ilivyo ada na desturi yake. Mimi ni Ahmed Rashid, karibuni.

  • "Kimya kilichovunjwa: "Haki za wanawake katika nchi za Ulaya" Ukatili na unyanyasaji majumbani nchini Ujerumani na takwimu zake za kutisha

    Dec 11, 2025 10:57

    Natumai mu buheri wa afya wasikilizaji wapendwa wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Sarajevo Safari: Kuwinda wanadamu kwa ajili ya kujifurahisha

    Sarajevo Safari: Kuwinda wanadamu kwa ajili ya kujifurahisha

    Nov 29, 2025 04:47

    Karibuni kutupia jicho kipindi chetu cha wiki hii cha Makala ya Wiki kinachobeba kichwa cha maneno: 'Sarajevo Safari'. Ni kipindi kinachohusu mojawapo ya ukatili wa kutisha na usiozungumziwa sana wa vita vya Bosnia; Ni tukio maarufu la "Sarajevo Safari" ambapo matajiri wa kigeni wa nchi za Magharibi waliwapiga risasi watu raia wasio na ulinzi kutoka juu ya vilima vinavyozunguka jiji la Sarayevo kwa ajili ya burudani, kujifurahisha, na kupata msisimko, mkabala wa kutoa pesa.

  • Jumamosi, 22 Novemba, 2025

    Jumamosi, 22 Novemba, 2025

    Nov 22, 2025 02:25

    Leo ni Jumamosi Mosi Mfunguo Tisa Jamaduthani 1447 Hijria mwafaka na 22 Novemba 2025 Miladia

  • El Fasher, Hadithi ya Kuanguka Mji

    El Fasher, Hadithi ya Kuanguka Mji

    Nov 07, 2025 16:32

    El Fasher sio jina la mji tu; bali ni jeraha lililowazi la dhamiri ya dunia. Katika kipindi chetu leo, tunasimulia mzingiro uliozuia mkate wa watu, na hujuma iliokata pumzi za watoto. Ni simulizi fupi lakini sahihi, inayotuhimiza sisi sote kuelekeza mazingatio yetu kwa maafa ya binadamu yanayotokea huko Sudan....