-
Uchunguzi wa maoni Marekani: Afya ya kiakili ya Biden haimstahilishi kuwa rais wa nchi
Jul 01, 2024 09:09Uchunguzi wa maoni uliofanywa na mtandao wa CBS wa Marekani ambao matokeo yake yalichapishwa jana Jumapili, umeonyesha kuwa takriban robo tatu ya wapiga kura waliojiandikisha nchini Marekani wanaamini kuwa Rais Joe Biden hana afya ya kiakili inayomfanya astahiki kuchaguliwa tena kuongoza nchi katika kipindi cha miaka minne ijayo.
-
Chama cha Macron chapigwa mweleka katika uchaguzi wa Bunge Ufaransa
Jul 01, 2024 02:19Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ufaransa imetangaza matokeo ya awali ya duru ya kwanza ya uchaguzi wa wabunge nchini humo ambapo chama cha "French National Communist Party" kimepata viti vingi na kuushinda muungano wa vyama unaoongozwa na rais wa nchi hiyo, Emmanuel Macron.
-
New York Times, Gazeti la kwanza la Marekani kumtaka Biden ajiondoe katika uchaguzi wa rais 2024
Jun 30, 2024 07:43Gazeti la New York Times limekuwa gazeti la kwanza la Marekani kumtaka rais aliyeko madarakani, Joe Biden, kujiondoa kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi wa urais wa 2024 kufuatia utendaji dhaifu katika mdahalo dhidi ya rais wa zamani wa nchi hiyo, Donald Trump siku chache zilizopita.
-
Chile yajiunga na malalamiko ya Afrika Kusini dhidi ya utawala wa Kizayuni
Jun 30, 2024 04:11Chile imetangaza kujiunga kwenye kesi ya Afrika Kusini dhidi ya utawala wa Kizayuni kwa kufanya jinai ya mauaji ya halaiki katika Ukanda wa Gaza.
-
Uholanzi yafunguliwa mashtaka kwa kuipatia Israel vipuri vya ndege za kivita za F-35
Jun 29, 2024 03:25Mashirika matatu ya kutetea haki za binadamu yasiyo ya kiserikali yamefungua kesi dhidi ya serikali ya Uholanzi, yakidai kwamba imekiuka marufuku ya kuipatia Israel vipuri vya ndege za kivita aina ya F-35 iliyotolewa Februari mwaka huu.
-
Wajapani waandamana kupinga ukatili wa kingono wa jeshi la Marekani huko Okinawa
Jun 28, 2024 22:56Wajapani wamefanya maandamano mbele ya ubalozi wa Marekani mjini Tokyo wakipinga unyanyasaji wa kingono na ubakaji wa wanajeshi wa Marekani katika kisiwa cha Okinawa kusini mwa Japan.
-
Serikali ya Biden yakiri kudumisha siasa za vikwazo dhidi ya Iran
Jun 28, 2024 22:55Matthew Miller, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, alitangaza katika mkutano na waandishi wa habari siku ya Jumatano sambamba na siasa za undumakuwili za Washington kuhusu wananchi wa Iran, kwamba nchi hiyo ya imeweka vikwazo zaidi ya 600 dhidi ya serikali na mashirika ya Iran.
-
Macron aonya kuhusu uwezekano wa kutokea vita vya ndani nchini Ufaransa
Jun 28, 2024 08:57Katika mkesha wa uchaguzi wa mapema wa Bunge, Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ameonya kuhusu uwezekano wa kupata ushindi makundi ya mrengo wa kushoto na kulia yenye misimamo ya kufurutu mipaka na kutokea vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo.
-
Waziri Mkuu: Norway kupokea wagonjwa kutoka Gaza
Jun 27, 2024 09:10Jonas Gahr Store Waziri Mkuu wa Norway amethibitisha leo kuwa nchi hiyo itawapokea na kuwatibu Wapalestina kutoka Ukanda wa Gaza. Amesema Norway itashiriki katika juhudi za kimataifa za kuwasaidia Wapalestina ambao matibabu haraka iwezekanavyo.
-
Balozi wa utawala wa Kizayuni aitwa katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Uholanzi, kuhusu ujasusi dhidi ya mahakama ya ICC
Jun 27, 2024 02:41Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Uholanzi imesema imemwita wizarani humo balozi wa utawala ghasibu wa Israel baada ya kuchapishwa habari kuhusu uwezekano wa kupenya Wazayuni katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ya mjini Hague.