-
Ushiriki wa Ireland katika kesi ya Afrika Kusini dhidi ya Israel kutokana na mauaji ya kimbari Gaza
Mar 30, 2024 01:01Ireland ilitangaza Jumatano, Machi 27, kwamba itashiriki katika kesi iliyowasilishwa na Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) dhidi ya utawala wa Isarel kutokana na mauaji ya kimbari yanayotekelezwa na utawala huo huko Gaza.
-
Kidole cha shahada cha Rudiger chatumiwa kuwashambulia Waislamu Ujerumani
Mar 29, 2024 22:58Kundi lenye siasa kali za mrengo wa kulia nchini Ujerumani limezusha mzozo mkubwa nchini humo baada ya kumhusisha mchezaji wa soka Muislamu wa timu ya taifa ya Ujerumani, Antonio Rudiger, na "makundi ya kigaidi" kwa sababu tu ameonekana kwenye picha ya Instagram akiwa amevaa kanzu nyeupe juu ya mswala, akiinua juu kidole chake cha shahada.
-
CDC: Maambukizi ya magonjwa ya zinaa yameongezeka sana Marekani
Mar 29, 2024 08:28Mambukizi ya magonjwa ya zinaa (STIs) yanaonekana kuongezeka kwa kiwango cha kuogofya miongoni mwa watu wazima nchini Marekani.
-
ICJ: Israel lazima ihakikishe msaada wa dharura, chakula vinaingizwa Ghaza bila kuchelewa
Mar 29, 2024 04:11Mahakama ya Juu zaidi duniani ya Haki ICJ imeuamuru utawala wa Kizayuni wa Israel "kuhakikisha msaada wa haraka wa kibinadamu" unaingizwa huko Ghaza bila kuchelewa, ikisisitiza kuwa "njaa imeshaingia" katika eneo hilo.
-
UN: Huenda Israel imetenda jinai ya kivita kwa kutumia njaa kama silaha ya vita
Mar 28, 2024 23:09Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema hatua ya utawala wa Israel kutumia njaa kama silaha dhidi ya watu Wapalestina wa Ukanda wa Gaza yumkini ikawa jinai ya kivita.
-
Erdogan: Dunia iishinikize Israel itekeleze azimio la Baraza la Usalama la UN
Mar 28, 2024 23:08Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan ameitaka jamii ya kimataifa iendelee kuushinikiza utawala wa Kizayuni wa Israel utekeleze azimio la kutaka kusitishwa mara moja mapigano huko Gaza, lililopasishwa majuzi na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Kupokewa vizuri ripoti ya UN kuhusu mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel huko Ghaza
Mar 28, 2024 23:08Tathmini ya ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu masuala ya Palestina juu ya mauaji ya umati yanayofanywa na Israel kwenye Ukanda wa Ghaza imepokewa vizuri na kuungwa mkono na wawakilishi wa nchi za dunia ndani ya umoja huo.
-
Marekani yaiwekea vikwazo GAZA NOW kwa tuhuma za kuchangisha fedha za kuisaidia HAMAS
Mar 28, 2024 07:28Wizara ya Fedha ya Marekani imeiwekea vikwazo tovuti ya mtandao ya GAZA NOW kwa madai ya kuchangisha misaada ya kifedha kwan ajili ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS.
-
Wataalamu wa US: Mapigano ya Al-Shifa yanaonyesha wapiganaji Wapalestina wangali wako imara
Mar 28, 2024 06:39Wataalamu wa masuala ya vita wa Marekani wamesema, wapiganaji wa Kipalestina wamefanya mashambulizi yapatayo 70 dhidi ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel karibu na hospitali ya al-Shifa katika mji wa Ghaza tangu Machi 18 wakati jeshi la utawala huo ghasibu liliporejea katika eneo hilo.
-
UN: Khumsi moja ya chakula duniani inaishia jaani wakati watu milioni 783 wanalala na njaa
Mar 28, 2024 06:38Ripoti mpya ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Mazingira UNEP imesema, wakati theluthi moja ya watu duniani wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula, milo bilioni moja, ambayo ni sawa na moja ya tano ya chakula chote hutupwa kila siku na kuishia jalalani.