Nduli wawili wa Waislamu CAR wapandishwa kizimbani ICC + Sauti
Sep 19, 2019 18:28 UTC
Wababe wawili wa kivita wa kundi la Anti-Balaka la Jamhuri ya Afrika ya Kati wamefikishwa mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai za Kivita ICC huko Uholanzi kujibu tuhuma za jinai za kivita na zilizo dhidi ya binadamu walizozifanya nchini mwao kati ya mwaka 2013 na 2014 wakati mapigano ya ndani Jamhuri ya Afrika ya Kati yalipopamba moto. Mwandishi wetu Mosi Mwassi na maelezo zaidi…
Tags