-
Mkutano wa G20 nchini Afrika Kusini kuendelea hata kama Trump hatohudhuria
Aug 29, 2025 07:23Afrika Kusini imesisitiza msimamo wake kwamba mkutano ujao wa nchi zilizostawi kiuchumi za G20, utakaofanyika Johannesburg mwezi Novemba, utaendelea kama ulivyopangwa; awepo au asiwepo Rais Donald Trump wa Marekani.
-
Polisi Kenya wagundua miili zaidi ya waliouawa na pote la Kikristo
Aug 29, 2025 07:18Uchunguzi nchini Kenya kuhusu vifo vinavyoshukiwa kutekelezwa na wafuasi wa kikundi cha Kikristo chenye misimamo mikali katika kaunti ya Kilifi ulichukua mkondo wa kutisha siku ya Alhamisi, baada ya polisi kufukua miili mingine saba katika kijiji cha Kwa Binzaro.
-
Mahakama Kuu ya Kenya yaamuru kusitishwa ujenzi wa 'kanisa la Ruto, katika ikulu zote
Aug 29, 2025 04:05Mahakama Kuu nchini Kenya imeamuru kusitishwa kwa muda ujenzi wa kanisa la kudumu au jengo lolote la kidini katika majengo ya Ikulu, jijini Nairobi. Agizo hilo la muda linazuia pia ujenzi kama huo katika Ikulu za Rais zilizoko maeneo mbalimbali nchini humo.
-
Rwanda yakiri kuwa imepokea wahamiaji saba waliotimuliwa Marekani
Aug 29, 2025 04:02Rwanda imekiri kuwa imepokea wahamiaji saba waliotimuliwa nchini Marekani mapema mwezi huu.
-
Waislamu Nigeria wataka kuachiwa huru kiongozi wa Palestina
Aug 28, 2025 22:54Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imelaani vikali hatua ya polisi ya Nigeria kumkata kiongozi wa Jumuiya ya Wapalestina katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi, Ramzy Abu Ibrahim, ikisisitiza kuwa kukamatwa huko kunafungamana na makubaliano ya hivi karibuni ya usalama kati ya Nigeria na utawala wa Israel.
-
UNICEF yaonya: Watoto wamenasa kwenye janga la kutisha El Fasher, Sudan
Aug 28, 2025 22:53Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF limeonya juu ya janga kubwa la kuogofya linalowawajihi watoto walionasa mjini El-Fasher, makao makuu ya jimbo la Darfur Kaskazini, magharibi mwa Sudan.
-
Watu 24 wauawa katika mashambulizi ya waasi wa RSF magharibi mwa Sudan
Aug 28, 2025 08:15Watu wasiopungua 24 wameuawa na wengine 55 kujeruhiwa kutokana na mashambulizi ya makombora ya waasi wa RSF katika mji mkuu wa El-Fasher, kaskazini mwa Darfur, magharibi mwa Sudan.
-
Afrika Kusini: Mauaji ya Wapalestina yameongezeka sana, Israel inapaswa kusitisha vita
Aug 28, 2025 08:11Afrika Kusini imesema mauaji ya Wapalestina yanazidi kuongezeka na hivyo imeutaka utawala wa Israel uafiki mkataba wa kusitisha mapigano uliojadiliwa na wadau wote muhimu.
-
Niger yalipiza kisasi, yaweka masharti magumu kwa wasafiri kutoka nchi za Ulaya
Aug 28, 2025 08:04Kufuatia sheria mpya ya usafiri iliyowekwa na serikali ya Niger, raia wa nchi zilizoathirika sasa inawalazimu wawasilishe maombi yao ya visa katika balozi za Niger zilizoko Russia, Uswisi, na Uturuki.
-
Mwanaharakati mtetezi wa haki Kenya atangaza kujitosa kwenye kinyang'anyiro cha urais 2027
Aug 28, 2025 02:37Mwanaharakati maarufu wa kutetea haki nchini Kenya Boniface Mwangi ametangaza kwamba atawania urais katika uchaguzi mkuu wa 2027.