-
Shambulizi dhidi ya msikiti Nigeria laendelea kulaaniwa
Mar 18, 2016 14:42Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani vikali shambulizi la kigaidi lililolenga msikiti nchini Nigeria na kuua watu 25.
-
UN: Pande hasimu Sudan Kusini ziheshimu makubaliano
Mar 18, 2016 08:06Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limezitaka pande hasimu nchini Sudan Kusini ziheshimu makubaliano ya amani baina yao.
-
WHO: Ugonjwa wa Ebola umemalizika kabisa Sierra Leone
Mar 18, 2016 07:59Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, Sierra Leone imefanikiwa kuutokomeza ugonjwa hatari wa Ebola nchini humo. Ripoti ya shirika hilo iliyotolewa jana imesema kuwa, uchunguzi uliofanywa na WHO unaonyesha kuwa, kwa sasa ugonjwa huo umemalizika kabisa nchini Sierra Leone.
-
Wanamgambo 89 wa Boko Haram wahukumiwa kifo Cameroon
Mar 18, 2016 07:16Mahakama ya kijeshi nchini Cameroon imewahukumu adhabu ya kifo wanamgambo 89 wa kundi la kigaidi la Boko Haram, kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Ban Ki-moon alaani mashambulizi ya Boko Haram misikitini Nigeria
Mar 18, 2016 03:06Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon amelaani vikali mashambulizi ya kigaidi dhidi ya misikiti mmoja yanayofanywa na na genge la kitakfiri la Boko Haram nchini Nigeria.
-
Makundi ya waasi yazidi kuchipuka mashariki mwa Kongo DR
Mar 18, 2016 03:00Asasi za kiraia huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, zimetangaza kuweko ongezeko kubwa la makundi ya waasi katika eneo la mashariki mwa nchi hiyo.
-
Kaka wa kiongozi mkuu wa al-Qaida aachiwa huru Misri
Mar 18, 2016 02:57Serikali ya Misri imetangaza kumuachilia huru kakawa kiongozi mkuu wa mtandao wa kigaidi wa al-Qaidah kutoka jela alikokuwa anashikiliwa.
-
Sudan yatishia kufunga tena mpaka na Sudan Kusini
Mar 17, 2016 14:42Kwa mara nyingine tena serikali ya Sudan imetishia kufunga mpaka wake na Sudan Kusini iwapo nchi hiyo changa zaidi barani Afrika itaendelea ‘kuwapa silaha makundi ya waasi.’
-
Jeshi la Cameroon laangamiza Boko Haram 20 nchini Nigeria
Mar 17, 2016 14:03Wanajeshi wa Cameroon wametangaza kuangamiza wanachama 20 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram katika operesheni iliyofanyika huko kaskazini mwa Nigeria.
-
Machafuko yashika kasi zaidi nchini Burundi
Mar 17, 2016 09:27Raia kadhaa wanaripotiwa kuuawa katika machafuko yanayoendelea huko kusini mwa Burundi.