-
Zaidi ya Wasudan 1,000 warejea nyumbani kwa hiari kutoka Misri
Jul 05, 2026 03:42Jumla ya raia 1,174 wa Sudan wamerejea nchini kwa hiari wakitokea Misri, ikiwa ni sehemu ya juhudi zinazoendelea kufanywa na Sudan za kuwarejesha nyumbani raia wake wanaotaka kurejea kutoka nje ya nchi.
-
Rais wa Burundi awaalika viongozi wa upinzani kwa mashauriano ya mgogoro wa DRC
Jul 04, 2026 10:49Rais wa Burundi Évariste Ndayishimiye ambaye ni Mwenyekiti wa Kiduru wa Umoja wa Afrika amewaalika wapinzani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika mazungumzo yanayolenga kujadili mgogoro wa DRC.
-
Majaribio ya tiba ya Ebola yaanza Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Jul 04, 2026 04:09Shirika la Afya Duniani limetangaza kuanza kwa majaribio ya dawa zinazoweza kutibu aina ya virusi vinavyosababisha mlipuko wa sasa wa ugonjwa wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
Wananchi wa Algeria washiriki uchaguzi wa pili wa Bunge tangu maandamano ya mwaka 2019
Jul 02, 2026 11:41Vituo vya kupigia kura vilifunguliwa mapema leo kote nchini Algeria kwa ajili ya uchaguzi wa pili wa Bunge tangu baada ya maandamano makubwa mwaka 2019 yaliyopelekea kujiuzulu Rais wa nchi hiyo, Abdelaziz Bouteflika.
-
ICC 'yahofia' kuhusu kujiondoa kwa Mali, Burkina Faso na Niger
Jul 02, 2026 11:35Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imeeleza wasiwasi wake kuhusu kujiondoa Mali, Burkina Faso na Niger kwenye mahakama hiyo, ikisema kunadhoofisha harakati za kimataifa za kutafuta haki.
-
Ripoti ya Amnesty: RSF imefanya maangamizi ya kikabila nchini Sudan
Jul 02, 2026 03:22Kikosi cha Msaada wa Haraka nchini Sudan (RSF) kilitenda uhalifu dhidi ya ubinadamu na maangamizi ya kikabila wakati wa mashambulizi yake katika mji wa El-Fasher kati ya 2024 na 2025.
-
Umoja wa Mataifa: Ebola kuigharimu Afrika dola Bilioni 3.6
Jul 01, 2026 10:13Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, mlipuko wa virusi vya Ebola huenda ukaligharimu bara la Afrika kiasi cha dola za Marekani bilioni 3.6 pamoja na maelfu ya ajira na pengine kusababisha mzozo wa kimaendeleo kwenye bara hilo.
-
Umoja wa Mataifa: Unyanyasaji wa kingono na mauaji yaongezeka DRC
Jul 01, 2026 03:28Uchunguzi katika mikoa miwili ya mashariki mwa DRC ya Kivu Kaskazini na Kusini waonesha ukikwaji wa haki za binadamu umeongezeka kwa kiasi kikubwa.
-
Polisi wa Afrika Kusini wakabiliana na waandamanaji wanaopinga wageni
Jun 30, 2026 11:18Mamlaka nchini Afrika Kusini zimeimarisha ulinzi kwa kupeleka vikosi vya polisi katika miji mikuu ya nchi hiyo, kufuatia wimbi la maandamano dhidi ya raia wa kigeni wasio na nyaraka rasmi za ukaazi.
-
Ghasia dhidi ya wahamiaji Afrika Kusini zatarajiwa leo
Jun 30, 2026 03:42Afrika Kusini inakabiliwa na mtihani mkubwa wa kiusalama baada ya magenge ya wahalifu kuapa kuwatimu raia wa kigeni nchini humo kuanzia leo.