-
WHO: Vituo vya Ebola Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo vimezidiwa
Sep 10, 2026 02:47Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, vituo vya Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo vimeelemewa kutokana na kuongezeka idadi ya maambukizi ya ugonjwa huuo.
-
Mgomo wa wauguzi Kenya waendelea kusababisha maafa, makumi ya wagonjwa wafariki mahospitalini
Sep 09, 2026 10:20Wagonjwa wanawake wapatao 22 wameaga dunia kutokana na matatizo yanayohusiana na uzazi katika kipindi cha wiki moja katika hospitali za Kenya huku mgomo wa wauguzi ukiwa unaendelea.
-
Moto uliozuka kwenye msitu wa Mlima Kenya umeteketeza ekari 30,000 za maeneo ya nyanda za juu
Sep 09, 2026 03:07Ekari zipatazo 30,000 za maeneo ya nyanda za juu katika Msitu wa Mlima Kenya zimeteketea kutokana na moto mkali uliozuka mwanzoni mwa mwezi huu.
-
MSF: Wahamiaji zaidi ya elfu moja wanaotokea Gambia wameokolewa katika pwani ya Afrika Magharibi
Sep 09, 2026 03:05Shirika la Misaada la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) limetangaza kuwa, wahamiaji zaidi ya 1,000 wameokolewa katika kipindi cha wiki moja kwenye pwani ya Afrika Magharibi wakati wakijaribu kuvuka bahari hatari kuelekea Ulaya.
-
Msaada wa kigeni kwa RSF ndio sababu kuu ya kuendelea kwa vita nchini Sudan
Sep 08, 2026 11:17Msaada wa nje kwa kundi la waasi la Rapid Support Forces (RSF) ndiyo sababu kuu ya kuendelea kwa vita vya muda mrefu na jinai nchini Sudan. Hayo yamedokezwa na mwanasheria mkuu wa nchi hiyo siku ya Jumatatu, akitoa wito wa kuchukuliwa kwa hatua madhubuti za kukomesha hali hiyo.
-
Kongo yaimarisha udhibiti wa serikali kwa data za uchimbaji madini
Sep 08, 2026 11:00Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetangaza kuwa inaratibu mpango wa kuimarisha udhibiti wa serikali kwa data ya kijiolojia ili kuboresha mapato ya mabilioni ya dola katika sekta ya uchimbaji madini kwa lengo la kusimamia pakubwa maendeleo ya utajiri mkubwa wa madini wa nchi hiyo.
-
Viongozi wa Afrika watoa mwito wa ulinzi imara zaidi dhidi ya ugaidi
Sep 08, 2026 04:35Viongozi mbalimbali wa Afrika walisema jana Jumatatu kwamba, kuimarisha ulinzi wa miundombinu muhimu na maeneo ya umma dhidi ya vitisho vya ugaidi ni muhimu kwa malengo ya Afrika ya maendeleo ya amani, ujumuishaji, na mshikamano wa kijamii.
-
Mjumbe wa UN ataka mchakato shirikishi wa kisiasa nchini Sudan
Sep 08, 2026 04:31Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan, Pekka Haavisto, ametoa wito Jumapili hii kwa ajili ya kufikiwa kwa maendeleo katika mchakato wa kisiasa unaojumuisha wadau wote na wenye mkakati madhubuti, uliolenga kuhitimisha mzozo wa muda mrefu nchini humo.
-
Libya yavunja genge la kuhujumu lililolenga vituo vya mafuta na umeme
Sep 08, 2026 04:29Serikali ya Muungano wa Kitaifa wa Libya, inayotambuliwa kimataifa, imetangaza kuvunja genge la uhujumu na kuwakamata raia watano wa Libya pamoja na wageni wanaodaiwa kushiriki katika mashambulizi ya magari ya angani yasiyokuwa na rubani, yakilenga vituo vya mafuta na umeme jijini Tripoli na Zawiya, magharibi mwa Libya.
-
Serikali ya Burundi yakosoa msimamo wa Kenya kuhusu wafanyabiashara wa kigeni
Sep 07, 2026 10:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi, Édouard Bizimana, ameikosoa serikali ya Kenya kwa kusema kuwa maelezo yake kuhusu vibali vya kazi na biashara hayajajibu madai ya vitendo vya ukatili dhidi ya raia wa kigeni, hususan raia wa Burundi.