-
Mahakama ya Uswidi yamhukumu kisiasa Hamid Nouri
Dec 20, 2023 07:34Siku ya Jumanne, Mahakama ya Rufaa ya Uswidi, katika hatua ya kisiasa na iliyo mbali na mchakato wa kisheria, ilithibitisha hukumu ya kifungo cha maisha jela kwa raia wa Iran Hamid Nouri.
-
Hatua isiyo na mzaha ya Yemen katika Bahari Nyekundu na kuchanganyikiwa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel
Dec 20, 2023 04:47Kufuatia kuendelea vita vya kila upande vya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Gaza ambavyo vimesababisha mauaji ya kimbari, Wayemen wamekuwa wakilenga meli yoyote katika Bahari Nyekundu inayoelekea katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel).
-
Kujiandikisha Putin kwa ajili ya uchaguzi wa Russia 2024
Dec 19, 2023 23:07Msemaji wa Kremlin Dmitry Peskov amethibitisha hhatua ya kwenda Rais Vladimir Putin wa Russia katika Kamati Kuu ya Uchaguzi ya nchi hiyo na kujiandikisha kama mgombea kwa muhula ujao wa urais, ambao utafanyika katikati ya Machi 2024. Putin amewasilisha stakabadhi zinazohitajika ili kujiandikisha kuwa mgombea urais.
-
Radiamali ya Afghanistan kwa hatua ya Baraza la Usalama ya kujadidisha vikwazo dhidi ya Taliban
Dec 19, 2023 05:24Zabihullah Mujahid, msemaji wa serikali ya Taliban ya Afghanistan, amekosoa kurefushwa muda wa vikwazo vya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa dhidi ya Taliban kwa mwaka mmoja mwingine.
-
Hasara kubwa za Wazayuni katika vita vya Al-Shujaiyya
Dec 19, 2023 01:37Wazayuni wanajitahidi kuingia katika eneo la Al-Shuja'iyya huko Gaza, huku kukiwa hakuna dalili za kufanikiwa kwao katika eneo hilo.
-
Sisitizo la Putin la kutoziami nchi za Magharibi
Dec 18, 2023 23:04Siku ya Jumapili, Rais Vladimir Putin wa Russia alikiri katika hotuba isiyokuwa ya kawaida kwamba ni makosa kuzidhania vizuri na kuzitegemea nchi za Magharibi na kufikiria kuwa Russia haina tofauti na nchi hizo. Alisema: Nilidhani kimakosa kuwa hakungekuwepo mzozo kati ya Russia na nchi za Magharibi na kwamba ulimwengu ulikuwa umebadilika.
-
Mchezo ulioshindwa mara kadhaa wa Israeli na Marekani katika vita vya Gaza
Dec 18, 2023 08:46Kulipuliwa nyumba, shule za umoja wa Mataifa, vituo vya matibabu na kuuliwa kinyama makumi ya maelfu ya Wapalestina pamoja na kujeruhiwa maelfu ya wengine katika Ukanda wa Gaza, na mapambano makali kati ya wapiganaji wa Kipalestina na askari vamizi huko Khan Yunis, ni moja ya habari muhimu zinazohusiana na Palestina inayokaliwa kwa mabavu Wazayuni.
-
Uungaji mkono usio na kikomo wa US na UK kwa utawala wa Kizayuni; kuanzia misaada ya kila hali mpaka uwekaji vikwazo dhidi ya Muqawama
Dec 18, 2023 02:42Serikali za Marekani na Uingereza zinazojinasibu kuwa watetezi wa haki za binadamu, mara hii zimeendeleza uungaji mkono wao kwa jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Gaza kwa kuwawekea vikwazo vipya makamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
-
Israel mhusika mkuu wa kuenea vita kutoka Gaza hadi Ukingo wa Magharibi na maeneo mengine
Dec 18, 2023 00:53Katika saa za kwanza za asubuhi ya siku ya 71 ya "Kimbunga cha Al-Aqsa", ndege za kivita za utawala wa Kizayuni zilishambulia kikatili kwa mabomu maeneo ya makazi ya raia mashariki mwa Rafah kusini mwa Ukanda wa Gaza. Maeneo ya Katikati na kaskazini-magharibi mwa Khan Yunis pia yalilengwa kwa makombora ya wavamizi hao.
-
Israel yazingirwa majini na nchi tajiri zaidi ya Kiarabu kwa mtazamo wa ujasiri na heshima
Dec 17, 2023 04:26'Sasa kwa vile chakula na dawa vimezuiwa kuingia Gaza, tutazuia meli kuingia na kutoka Tel Aviv.' Hayo ni matamshi yalitolewa na Brigedia Jenerali Yahya Saree, Msemaji rasmi wa Jeshi la Yemen, na hii ina maana kwamba Yemen italenga meli zote zinazoelekea Tel Aviv bila kubagua ni meli ya nchi gani.