-
Kufilisika benki za Marekani na hofu ya madhara yake
Mar 18, 2023 00:35Mtikisiko uliosababishwa na kufilisika kwa Benki ya Silicon Valley (SVB) unaendelea kushuhudiwa katika jamii ya Marekani. Wataalamu wengi pia wana wasiwasi kuhusu mustakbali wa uwekezaji na hali ya uchumi katika nchi hiyo na uwezekano wa hali hiyo kuhamia katika maeneo mengine, ikiwa ni pamoja na Ulaya.
-
Safari ya Shamkhani UAE; harakati mpya katika diplomasia ya ujirani mwema
Mar 17, 2023 03:53Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran Alkhamisi ya jana alikutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Imarati katika safari yake huko Abu Dhabi na kujadiliana naye kuhusu masuala yanayozihusu pande mbili na matukio muhimu zaidi ya kikanda na kimataifa.
-
Mazoezi ya pamoja ya majeshi ya majini ya Iran, China na Russia
Mar 16, 2023 22:45Mazoezi ya pamoja ya majeshi ya majini ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, China na Russia yanayofanyika kwa anwani ya "Ukanda wa Amani wa Baharini 2023", yameakisiwa sana kimataifa na kuwa habari ya kwanza katika vyombo mashuhuri vya habari duniani.
-
Msimamo wa Iran kwa mnasaba wa Machi 15, Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Chuki dhidi ya Uislamu
Mar 16, 2023 08:17Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana Jumatano alituma ujumbe katika ukurasa wake wa Twitter akisema kwamba: Wale wenye chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu hawaamini maadili yoyote ya kibinadamu na dini za Mwenyezi Mungu.
-
Makabiliano ya kijeshi yasiyo ya kawaida kati ya Russia na Marekani katika anga ya Bahari Nyeusi
Mar 16, 2023 00:45Kituo cha kamandi ya Marekani barani Ulaya kimetangaza kuwa Jumanne asubuhi, ndege ya kivita ya Russia aina ya Sukhoi Su-27 iligongana na ndege isiyo na rubani (droni) ya Marekani aina ya MQ-9 Reaper katika anga ya Bahari Nyeusi, na kupelekea droni hiyo kuanguka kwenye maji ya kimataifa.
-
Mauritania yakanusha kiuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni
Mar 15, 2023 07:36Serikali ya Mauritania imekanusha madai ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa inafanya nao mashauriano ya kuanzisha uhusiano wa kawaida wa kidiplomasia.
-
Kushadidi madhara ya vita na vikwazo kwa mataifa masikini
Mar 14, 2023 22:52Migogoro wa kisiasa na kiuchumi hususan vita ni mambo ambayo kwa hakika yamekuwa na taathira hasi kwa hali ya uchumi wa mataifa masikini hususan nchi za Kiafrika.
-
Ushirikiano wa nchi zilizowekewa vikwazo; mkakati wa kuvifanya vikwazo kutokuwa na taathira
Mar 14, 2023 07:53Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria mambo mengi ya pamoja na yanayofanana yaliyopo kati ya Iran na Belarus na kueleza kuwa nchi zilizowekewa vikwazo na Marekani zinapasa kufanya kazi kwa pamoja ili kuondoa kizuizi hicho.
-
Taathira za kuimarishwa uhusiano wa Iran na Saudi Arabia kwa utawala wa Kizayuni
Mar 13, 2023 22:35Baada ya miaka 7 ya kuvunjwa uhusiano wao, Iran na Saudi Arabia zilitia saini taarifa ya kurejesha uhusiano kwa upatanishi wa China mnamo Machi 10 huko Beijing. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, balozi za nchi hizi mbili zitafunguliwa baada ya miezi miwili.
-
Sababu za Saudia kufikia makubaliano na Iran
Mar 13, 2023 02:51Iran na Saudi Arabia zimekubaliana kurejesha uhusiano wao wa kidiplomasia baada ya kukatwa kwa miaka 7 na kuamua kufungua tena balozi zao katika muda wa miezi miwili ijayo.