-
Kukiri Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudia juu ya kushindwa nchi yake katika vita huko Yemen
Feb 28, 2022 23:57Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudi Arabia amesema kuwa, nchi yake ilikuwa na matarajio kwamba, vita vyake dhidi ya Yemen visingechukua muda mrefu kiasi hiki, lakini sasa vimedumu muda mrefu kinyume kabisa na matarajio ya utawala wa Aal Saud.
-
Safari ya Kamanda wa Jeshi la Anga la Iran nchini Pakistan na diplomasia ya Tehran ya ulinzi amilifu
Feb 28, 2022 07:39Jumapili ya jana tarehe 27 Februari, Brigedia Jenerali Hamid Vahedi, Kamanda wa Kikosi cha Anga cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aliwasili katika mji mkuu wa Pakistan Islamabad kwa minajili ya kukutana na kufanya mazungumzo na maafisa wa kijeshi na kisiasa wa nchi hiyo.
-
Kuongezeka kwa kasi biashara ya nje ya Iran katika serikali ya 13 licha ya kuwepo vikwazo vya upande mmoja vya Marekani
Feb 27, 2022 22:51Biashara ya nje ya Iran katika kipindi cha miezi 11 iliyopita imefikia kiwango cha dola bilioni 90, ambalo ni ongezeko la asilimia 38 ikilinganishwa na muda kama huo katika mwaka uliopita.
-
Kuunga mkono waziwazi Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia Makubaliano ya Abraham
Feb 27, 2022 07:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia Faisal bin Farhan amesema katika mahojiano na shirika la habari la Ujerumani kuwa, mapatano yaliyofikiwa kati ya utawala wa Kizayuni wa Israel na nchi za Kiarabu ni hatua nzuri na imepelekea kupatikana suluhu na amani katika eneo.
-
Mazungumzo ya simu ya Marais wa Iran na Russia
Feb 27, 2022 00:22Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Sayyid Ebrahim Raisi, na Rais wa Russia, Vladimir Putin, walifanya mazungumza ya simu Alhamisi iliyopita kuhusu masuala ya kimataifa na mazungumzo yanayoendelea huko Vienna kuhusu suala la kuondolewa vikwazo vya nchi za Magharibi dhidi ya Iran.
-
Mashariki ya Kati, ibra na somo la mgogoro wa Ukraine
Feb 26, 2022 06:57Tarehe 25 mwezi huu wa Februari Russia ilipuuza propaganda na tahadhari za nchi za Magharibi na kuanzisha mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Ukraine.
-
Indhari ya Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu kuhusiana na hali ya afya na huduma za tiba Afghanistan
Feb 25, 2022 23:10Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu limekosoa mwenendo wa utoaji chanjo nchini Afghanistan na kuitaka jamii ya kimataifa kuiunga mkono sekta ya tiba ya nchi hiyo.
-
Vikwazo vyenye wigo mpana vya Wamagharibi dhidi ya Russia
Feb 25, 2022 10:03Baada ya Russia kuchukua uamuzi wa kuishambuulia kijeshi Ukraine, kambi ya magharibi imeonyesha radiamali katika fremu ya kuiwekea vikwazo Moscow ambapo kabla ya hapo madola hayo yalikuwa yameahidi kuchukua uamuzi huo.
-
Iran yapinga kutumiwa haki za binadamu kama chombo dhidi ya nchi zingine
Feb 24, 2022 23:48Katibu wa Baraza la Haki za Binadamu la Iran amekutana na mabalozi wa Russia na China nchini Iran ambapo wametangaza kwa pamoja kupinga kutumiwa vibaya kadhia ya haki za binadamu kama chombo cha kuyashinikiza mataifa mengine.
-
Oparesheni ya kijeshi ya Russia nchini Ukraine, sababu na matokeo yake
Feb 24, 2022 07:30Rais Vladimir Putin wa Russia mapema Alhamisi amehutubia taifa katika televisheni na kutangaza kuwa, vikosi vya nchi yake vimeanza oparesheni maalumu ya kijeshi katika eneo la Donbass ambalo limetangaza kujitenga na Ukraine. Punde baada ya kutangaza oparesheni hiyo ya kijeshi, Putin ametaka kusitishwe 'muundo wa kijeshi' Ukraine na kuitaka nchi hiyo iweke chini silaha zake.