-
Changamoto zinazomkabili Biden mwaka mmoja baada ya kushinda uchaguzi wa rais Marekani
Nov 07, 2021 23:12Mwaka mmoja baada ya kushinda uchaguzi wa rais na miezi 10 tangu alipoapishwa kushika usukani wa kuiongoza Marekani, Joe Biden anasumbuliwa na changamoto nyingi. Sambamba na hayo takwmu za karibuni zinaonesha kuwa, asilimia ya Wamarekani wanaoridhishwa na utendaji wa Biden imeporomoka na kwenda chini ya 45.
-
Maendeleo ya Iran katika teknolojia ya nyuklia
Nov 07, 2021 08:43Akiba ya madini ya urani iliyorutubishwa kwa kiwango cha asilimia 20 imezidi kilo 210 na ile iliyorutubishwa kwa kiwango cha asilimia 60 hapa nchini imefikia kilo 25.
-
Kuendelea mashauriano kati ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya na viongozi wa Uturuki
Nov 07, 2021 00:12Viongozi wa serikali ya Rais Recep Tayyep Erdogan wa Uturuki wanaendeleza siasa zao makhsusi licha ya kukabiliwa na changamoto za ndani, kieneo na kimataifa, huku vyama mbalimbali huko Uturuki vikipinga siasa za serikali ya Ankara.
-
Serikali ya Biden yaidhinisha mauzo ya silaha kwa Saudi Arabia
Nov 06, 2021 12:17Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Marekani imeidhinisha mauzo ya makombora yenye thamani ya dola milioni 650 kwa Saudi Arabia.
-
Dalili za kupungua nafasi ya Marekani Asia Magharibi
Nov 05, 2021 23:56Tarehe 4 Novemba imetengwa katika kalenda ya Iran kuwa siku ya mapambano dhidi ya uistikabari wa dunia (ubeberu/ujeuri)
-
Mwaka wa 104 tangu kutangazwa Azimio la Balfour na sisitizo la Wapalestina la kuendeleza mapambano
Nov 05, 2021 05:38Huku yakitangaza taathira na madhara ya Azimio la Balfour ambalo lilliunga mkono rasmi kuanzishwa utawala ghasibu wa Israel katika ardhi za Palestina, makundi ya mapambano ya Palestina yamesisitiza juu ya kuendeleza mapambano dhidi ya utawala huo.
-
Kukosoa Uturuki utendaji wa Umoja wa Ulaya ulio dhidi ya Uislamu
Nov 04, 2021 20:23Ukosoaji mtawalia wa viongozi wa Uturuki dhidi ya Umoja wa Ulaya hususan sera za chuki dhidi ya Uislamu za umoja huo, zinapaswa kutathminiwa kama juhudi za Ankara za kukabiliana na sera za madola ya Magharibi dhidi ya serikali ya Rais Recep Tayyip Erdogan na kuimarisha wenzo wa kuishinikiza jumuiya hiyo ya Ulaya.
-
Kuzabwa kibao Marekani na jeshi la SEPAH; kushindwa Washington kuiba mafuta ya Iran
Nov 04, 2021 04:49Wanajeshi shupavu wa kikosi cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) kwa mara nyingine tena wameonyesha nguvu, uwezo, umakini wa hali ya juu walionao na kutokuwa na mzaha hata kidogo katika kulinda maslahi ya taifa baada ya kutoa pigo jingine dhidi ya vikosi vya kigaidi vya Marekani vilivyoko katika eneo la Asia Magharibi.
-
Kutangazwa hali ya hatari nchini Ethiopia
Nov 03, 2021 23:08Mvutano kati ya serikali ya Ethiopia na wapiganaji wa Harakati ya Ukombozi ya Watu wa Tigray (TPLF) umepamba moto katika miezi ya karibuni; hatua iliyoipelekea serikali ya Addis Ababa kutangaza hali ya hatari nchini humo kufuatia kusonga mbele kupya waasi wa Tigray.
-
Kuanza Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi huko Glasgow; shaka na mazingatio katika mkutano huo
Nov 03, 2021 07:48Mkutano kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi wa Umoja wa Mataifa (COP26) ulianza shughuli zake juzi Jumatatu katika mji wa Glasgow nchini Scotland kwa kuhudhuriwa na wakuu wa nchi zaidi ya 100 na viongozi wengine wa ngazi za juu wa nchi mbalimbali duniani.