-
Umoja wa nchi za Kiislamu, njia mwafaka ya kukabiliana na jinai za utawala wa Kizayuni
Sep 17, 2025 02:33Marais Abdel Fattah Al-Sisi wa Misri na Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wamesisitiza kuwa, kuimarishwa umoja na mafungamano baina ya nchi za Kiislamu ndiyo njia mwafaka zaidi ya kukabiliana na kukariri na kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la Asia Magharibi.
-
Namna Ghaza inavyowabebesha jinamizi la kiafya wanajeshi wa Israel
Sep 15, 2025 22:47Makumi ya wanajeshi wa utawala wa wa Kizayuni wa Israel waliovamia Ghaza wameambukizwa magonjwa ya ngozi ya kuambukiza.
-
Kwa nini maandamano ya kupinga kuungwa mkono Israel yameongezeka barani Ulaya?
Sep 15, 2025 07:30Maelfu ya watu wamemiminika barabarani mjini Berlin kupinga sera za Ujerumani katika eneo la Asia Magharibi hususan za kuunga mkono jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Nafasi ya OIC katika kukabiliana na uchokozi wa utawala wa Kizayuni; mtihani kwa mshikamano wa Ulimwengu wa Kiislamu
Sep 14, 2025 07:24Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameenda Doha leo Jumapili kwa ajili ya kushiriki katika kikao cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC.
-
Juhudi za mhimili wa Magharibi za kuchafua jina la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Sep 14, 2025 04:46Wanachama wa Mchakato wa Radiamali ya Haraka wa Kundi la G7 ambazo ni nchi za Canada, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Japan, Uingereza, Marekani na Umoja wa Ulaya, pamoja na Australia na New Zealand, katika taarifa ya pamoja siku ya Ijumaa walidai kulaani hatua za Iran kuhusiana na eti kuongezeka kwa kampeni ya ukandamizaji unaotekelezwa nje ya mipaka yake.
-
Kwa nini Putin anataka kukomeshwa vigezo vya undumakuwili na vitisho dhidi ya tamaduni duniani?
Sep 13, 2025 23:11Putin ametaka kukomeshwa vigezo vya undumakuwili na vitisho dhidi ya tamaduni duniani.
-
Je, dunia mara hii ina nia ya kufanikisha kuasisiwa nchi huru ya Palestina?
Sep 13, 2025 07:52Katika hatua ya kihistoria, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio lililopendekezwa na Ufaransa na Saudi Arabia, na kutangaza kuunga mkono kuanzishwa kwa nchi huru la Palestina na kutekelezwa njia ya ufumbuzi wa serikali mbili.
-
Bwawa la Renaissance; tishio kwa amani au fursa ya maendeleo?
Sep 11, 2025 03:49Bwawa la Renaissance au an-Nahdha, mradi mkubwa zaidi wa kuzalisha umeme barani Afrika, ulizinduliwa rasmi na serikali ya Ethiopia siku ya Jumanne.
-
Kwa nini maelfu ya Wazayuni wanataka kusimamishwa vita vya Gaza?
Sep 10, 2025 10:07Maelfu ya Wazayuni wamefanya maandamano ya kumpinga Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni na kutaka kusitishwa mara moja vita vya Ukanda wa Gaza na kukombolewa mateka wa Kizayuni.
-
Kwa nini utawala wa Israel na Australia zinaendelea kushirikiana nyuma ya pazia licha ya mivutano ya kidiplomasia?
Sep 09, 2025 22:57Katika hali ambayo uhusiano wa kidiplomasia kati ya utawala wa Kizayuni na Australia umefika kiwango cha chini na kufutwa kwa viza za wanadiplomasia kumezidisha mivutano; lakini pande mbili hizo zinaendelea kushirikiana katika masuala ya kiusalama, kiteknolojia na kiuchumi.