-
BRICS inawezaje kuwa na nafasi muhimu na kuu katika kukabiliana na mwenendo unaotia wasiwasi wa hatua za upande mmoja?
Sep 09, 2025 08:46Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesisitiza katika mkutano wa dharura wa viongozi wa kundi la BRICS uliofanyika kwa njia ya video kwamba: BRICS inaweza kuwa na nafasi muhimu na kubwa katika kukabiliana na mwenendo unaotia wasiwasi wa hatua na misimamo ya upande mmoja.
-
Kwa nini UN imetoa wito wa kuondolewa vikwazo vya Marekani dhidi ya makundi ya kutetea haki za binadamu ya Palestina?
Sep 08, 2025 05:28Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, amekosoa vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya makundi ya kutetea haki za binadamu ya Palestina, na kutoa wito wa kuondolewa mara moja.
-
Kwa nini Tume ya Ulaya haikubali hata maneno ya mwakilishi wake yenyewe kuhusu mauaji ya kimbari huko Gaza?
Sep 07, 2025 23:01Siku ya Ijumaa, Agosti 5, Kamisheni ya Umoja wa Ulaya ilipuuza kauli ya Teresa Ribera, Naibu MKuu Mtendaji wake kuhusu mauaji ya kimbari ya Israel katika Ukanda wa Gaza, na kudai kwamba jinai hizo zinaweza tu kuthibitishwa na mahakama husika.
-
Je, China imejibu vipi tuhuma za Trump?
Sep 07, 2025 03:19Ikiwa ni katika kujibu madai ya Trump, China imetangaza kwamba kupanua ushirikiano wake na nchi nyingine sio tishio kwa nchi yoyote ya tatu.
-
Kubadilishwa jina la Wizara ya Ulinzi ya Marekani kuwa Wizara ya Vita; kwa nini na kwa lengo gani?
Sep 06, 2025 22:50Rais wa Marekani Donald Trump amesaini dikrii ya utekelezaji na hivyo kubadili jina la Wizara ya Ulinzi ya Marekani kuwa "Wizara ya Vita."
-
Hasira za nchi za Magharibi kuhusu Mkutano wa Shanghai na mjumuiko wa madola yanayoibukia
Sep 06, 2025 08:32Viongozi wa Marekani na Umoja wa Ulaya wamekasirishwa na mkutano wa kilele wa Shanghai na mkusanyiko wa nchi hasimu za Magharibi
-
Watu wa Afrika walaani jinai za utawala wa Israel dhidi ya Yemen na Gaza
Sep 05, 2025 06:54Wananchi wa nchi kadhaa za Afrika wamefanya maandamano makubwa kulaani jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Yemen na Gaza, wakionesha mshikamano wa wazi na harakati za ukombozi wa Wapalestina.
-
Ulaghai wa watawala wa Magharibi; Gaddafi alivyodanganywa na Sarkozy
Sep 04, 2025 22:48Moja ya kesi mashuhuri za ulaghai wa watawala wa nchi za Magharibi ni udanganyifu uliofanywa na Nicolas Sarkozy, rais wa zamani wa Ufaransa dhidi ya Muammar Gaddafi, dikteta wa zamani wa Libya.
-
Marekani inafutilia nini katika kuweka vikwazo vipya dhidi ya Iran?
Sep 04, 2025 03:51Marekani imeweka vikwazo vipya ili kuzuia uuzaji nje wa mafuta ya Iran.
-
Kwa nini mgawanyiko kati ya bunge la Uingereza na serikali kuhusu mgogoro wa Gaza unaendelea?
Sep 03, 2025 23:03Wabunge wa Uingereza sanjari na kukosoa sera za serikali ya Waziri Mkuu Keir Starmer katika vita vya Gaza wameishutumu serikali ya London kwa kuilegezea Israel.