-
Makubaliano ya Iran na China; njia ya kuondokana na uchukuaji maamuzi ya upande mmoja
Sep 03, 2025 05:17Katika kikao chao, Marais wa Iran na China, Masoud Pezeskian na Xi Jinping wameashiria uwezo, misingi na matakwa ya viongozi wa nchi hizo mbili ya kupanua ushirikiano, na kusisitiza maslahi na utayari wao wa kuboresha uhusiano kwa kuangalia mustakabali, ikiwa ni pamoja na utekelezaji wa kiwango cha juu zaidi wa makubaliano ya kimkakati ya miaka 25 kati yao.
-
Hatua za Israel dhidi ya Yemen na Gaza zimeakisiwa vipi miongoni mwa watu wa Afrika?
Sep 02, 2025 23:02Wananchi wa baadhi ya nchi za Kiafrika wamefanya maandamano makubwa kujibu jinai za Israel za kuishambulia Yemen na kuendelea jinai za utawala huo ghasibu dhidi ya Ukanda wa Gaza.
-
Pendekezo la Iran kwa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai; hatua ya kuelekea kwenye mfumo mpya wa dunia
Sep 02, 2025 07:26Katika hotuba yake katika kikao cha Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai, Rais Masoud Pezeshkian wa Iran aliwasilisha utatuzi uliopendekezwa na Iran kwa ajili ya kupanua ushirikiano kati ya wanachama wa jumuiya hiyo kwa lengo la kukabiliana na misimamo ya upande mmoja ya Marekani na Magharibi.
-
Matokeo ya hatua ya Marekani ya kuzuia ujumbe wa Palestina kwenye Umoja wa Mataifa
Sep 02, 2025 00:58Katika hali ambayo haijawahi kushuhudiwa, serikali ya Marekani imebatilisha au kuwanyima viza maafisa wapatao 80 wa Palestina akiwemo Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Mahmoud Abbas.
-
Msimamo wa karibuni wa Malaysia kuhusiana na utawala wa kizayuni na jinai unazofanya Ghaza
Sep 01, 2025 03:54Malaysia imeitaka Jamii ya Kimataifa isimamishe uwanachama wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Umoja wa Mataifa na kuuwekea vikwazo vikali utawala huo ghasibu.
-
Nadharia ya ulimwengu wa kambi kadhaa; mwelekeo huu utaimarishwa katika Mkutano wa Shanghai?
Aug 31, 2025 23:05Mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) unaohudhuriwa na viongozi kutoka zaidi ya nchi 20 ulianza jana Jumapili katika mji wa Tianjin wa China.
-
Biashara ya umwagaji damu za watoto na namna mauaji ya kimbari ya Ghaza yanavyoipatia faida nono Lockheed Martin ya US
Aug 31, 2025 03:43Kampuni ya Lockheed Martin ni moja ya waundaji wakubwa zaidi wa silaha na zana za kijeshi duniani na inahesabiwa kuwa miongoni mwa taasisi kubwa zaidi katika sekta ya kijeshi na viwanda nchini Marekani.
-
Uhalifu wa Magharibi: Jinsi Marekani ilivyowatumia binadamu 5,000 kama panya wa maabara huko Guatemala
Aug 31, 2025 02:12Uchunguzi wa historia ya elimu na sayansi ya Marekani unaonyesha kuwa mitazamo ya ubaguzi wa rangi dhidi ya binadamu wasio wazungu nchini Marekani imewafanya watafiti nchini humo kuwatumia binadamu, hasa weusi kutoka Afrika na watu maskini, kama panya wa maabara.
-
Sababu za Iran kuitambua hatua ya Troika ya Ulaya ya kutekeleza snapback kuwa kinyume cha sheria
Aug 30, 2025 07:16Kikao cha faragha cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kushughulikia uzinduzi wa mchakato wa kuanzisha utaratibu wa kurejesha vikwazo vya Baraza la Usalama dhidi ya Iran (snapback) wa Troika ya Ulaya kilifanyika jana Ijumaa, Agosti 29.
-
Kwa nini doria ya kwanza ya pamoja ya nyambizi za Russia na China ni muhimu?
Aug 29, 2025 23:01Doria ya pamoja ya nyambizi za Russia na China imefanyika kwa mara ya kwanza katika eneo la Asia-Pasifiki.