-
Kwa nini serikali ya Sudan inachukulia uundaji wa serikali hasimu kuwa tishio kubwa?
Jul 29, 2025 07:26Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Sudan imelaani vikali tangazo la kuundwa serikali hasimu na Vikosi vya Msaada wa Haraka vinavyoongozwa na "Mohammed Hamdan Dagalo", anayejulikana kwa jina la "Hemedti".
-
Vipi Yemen imegeuza mzingiro wa baharini wa Israel kuwa changamoto ya kimkakati?
Jul 28, 2025 23:19Yahya Saree, msemaji wa jeshi la Yemen, ametangaza Jumatatu ya leo, Julai 28 kwamba vikosi vya Yemen vitashambulia meli za kampuni zinazoshirikiana na bandari za Israel na ziko ndani ya darubini yao.
-
Kuondoa jeshi la Ufaransa nchini Senegal ni kikwazo kwa sera ya nje ya Paris barani Afrika
Jul 28, 2025 08:44Kuondoka kwa vikosi vya jeshi la Ufaransa katika kambi ya mwisho ya nchi hiyo huko Senegal na matamshi mbayo hayajawahi kutolewa hapo kabla ya afisa wa ngazi ya juu wa serikali ya Paris kwamba usalama wa Afrika Magharibi si muhimu kwa Ufaransa, kunadhihirisha kushindwa kwa sera ya muda mrefu ya ukoloni katika Bara la Afrika.
-
Kwa nini Marekani imeitaka China iache kununua mafuta ya Iran?
Jul 27, 2025 23:03Waziri wa Fedha wa Marekani ametoa wito kwa China kuacha kununua mafuta ya Iran na Russia wakati huu inapokaribia duru mpya ya mazungumzo ya ushuru wa forodha kati ya Marekani na China.
-
Nini uchambuzi wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki kuhusu lengo la utawala wa Kizayuni huko Gaza?
Jul 27, 2025 06:47Hakan Fidan Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki ametahadharisha kuhusu nia ya utawala wa Kizayuni ya kuwaondoa wakaazi wa Gaza kutoka katika ukanda huo.
-
Kwa nini umoja wa nchi za Kiislamu ni jambo la dharura kwa ajili ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Gaza?
Jul 26, 2025 22:56Sayyid Abbas Araqchiو Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amelaani vikali jinai za utawala wa Kizayuni Israel katika Ukanda wa Gaza na kusisitiza kuwa, kuna haja ya kuchukuliwa hatua haraka na nchi za Kiislamu kufanya uratibu ili kusitisha mauaji ya kimbari na kuzuia maafa ya binadamu yanayoendelea huko Gaza.
-
Matokeo ya Mkutano wa Istanbul kati ya Iran na Troika ya Ulaya
Jul 26, 2025 09:10Suala la kuondoa vikwazo na kutilia mkazo haki ya Iran ya kurutubisha urani ni miongoni mwa mambo yaliyojadiliwa katika ajenda ya "Mkutano wa Istanbul." Pande hizo zimesisitiza udharura wa kuendeleza mazungumzo.
-
Kwa nini eneo la kusini mwa dunia limejipanga dhidi ya sera za Trump?
Jul 25, 2025 08:34Nchi nne za Amerika ya Kusini na viongozi wa mrengo wa kushoto nchini Uhispania wameonya juu ya tishio la demokrasia duniani na kutoa mwito wa kuwepo umoja dhidi ya sera za Marekani na ongezeko misimamo ya kuufuurutu ada duniani.
-
Je, Azimio la Baraza la Usalama Kuhusu Utatuzi wa Amani wa Migogoro Linaweza Kutekelezwa kwa Mujibu wa Hali ya Dunia ya Leo?
Jul 24, 2025 23:20Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha kwa kauli moja azimio linalozitaka nchi zote wanachama kutumia kwa ufanisi mbinu za utatuzi wa amani wa migogoro.
-
Swali la Leo: Je, kauli ya Kaja Kallas Kwamba “Machaguo Yote Yako Mezani Dhidi ya Israel” ina mashiko yoyote?
Jul 24, 2025 07:20Kaja Kallas, Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, amedai kuwa “mauaji ya raia wasio na hatia wa Kipalestina lazima yakome,” la sivyo, “Machaguo Yote Yatazingatiwa dhidi ya Israel.”