-
Kwa nini Iran inachukulia juhudi za kuhuisha mfumo wa Snapback kuwa kinyume cha sheria?
Jul 23, 2025 23:09Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Anayeshughulikia Sheria na Masuala ya Kimataifa analichukulia jaribio lolote la Troika ya Ulaya la kuamilisha utaratibu wa Snapback kuwa ni jambo lisilokubalika kisheria.
-
Kwa nini Marekani imejiondoa rasmi UNESCO?
Jul 23, 2025 05:28Marekani ilitangaza Jumanne, Julai 22, kwamba imejiondoa rasmi katika Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni UNESCO.
-
Jibu la swali la leo; vita vya siri vya serikali ya Uingereza na mashirika yanayounga mkono Palestina vikoje?
Jul 22, 2025 04:53Mashirika mawili yanayounga mkono Palestina nchini Uingereza yametangaza kuwa, akaunti zao za benki zimefungiwa kwa muda usiojulikana.
-
Kwa nini utawala wa Kizayuni unatumia njaa kama silaha dhidi ya watu wa Gaza?
Jul 22, 2025 04:07Utawala wa Kizayuni katika kuendeleza vitendo vyake vya kinyama, unaendelea kuiwekea vikwazo Gaza, jambo ambalo limesababisha utapiamlo na hali mbaya kwa maelfu ya Wapalestina.
-
Jibu kwa swali la leo; kwa nini Trump amewatishia tena wanachama wa BRICS?
Jul 21, 2025 09:19Rais wa Donald Trump Marekani amekariri tena tishio lake la kuzitoza ushuru wa ziada nchi wanachama wa kundi la BRICS.
-
Msimamo wa Kamisheni ya Ulaya dhidi ya Iran; kurudiwa tena madai yasiyo na msingi wowote
Jul 20, 2025 13:32Kamisheni ya Ulaya imetoa taarifa ambayo, pasi na kuashiria kuwa mpango wa nyuklia wa Iran ni wa malengo ya amani, imetosheka na kudai tu kwamba: Tehran haipasi kuwa na silaha za nyuklia.
-
UNRWA: Israel inawatesa raia kwa njaa Ghaza, wakiwemo watoto milioni moja
Jul 20, 2025 09:45Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) kwa mara nyingine tena limeushutumu utawala wa kizayuni wa Israel kwa kutumia njaa kama silaha ya vita dhidi ya raia Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza.
-
Je, umewadia sasa wakati wa kuhitimishwa ukoloni wa Ufaransa barani Afrika?
Jul 20, 2025 08:21Ufaransa imehitimisha muda wa zaidi ya miaka sitini ya uwepo wake wa kudumu wa kijeshi nchini Senegal kwa kukabidhi kambi ya kijeshi ya Geille iliyoko mjini Dakar kwa jeshi la nchi hiyo.
-
Marekebisho ya Taylor Greene ya kuacha kuusaidia utawala wa Kizayuni yapingwa katika Kongresi ya Marekani
Jul 20, 2025 00:07Baraza la Wawakilishi la Marekani limepinga marekebisho ya Marjorie Taylor Greene, mbunge katika baraza hilo, kwa ajili ya kupunguza msaada wa kijeshi wa dola milioni 500 kwa Israel.
-
Sababu za India kupinga sera za kindumakuwili za EU ni zipi?
Jul 19, 2025 06:08Wizara ya Mambo ya Nje ya India imepinga vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia na kiwanda cha kusafisha mafuta cha India na pia "sera za kindumakuwili" za umoja huo katika uga wa biashara ya nishati.