-
Je, waziri mkuu mpya anaweza kuiokoa Sudan kutokana na mzozo mkubwa wa kisiasa na kiuchumi?
Jun 02, 2025 22:42Kamil Eltayeb Idris ameapishwa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Sudan mbele ya Abdel Fattah Al-Burhan, Mwenyekiti wa Baraza la Utawala na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Sudan.
-
Je, kutumwa silaha za nchi za Magharibi Ukraine kunatishia vipi usalama wa Afrika?
Jun 02, 2025 02:39Mkuu wa Idara ya Ushirikiano na Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kwamba silaha za Magharibi zinazotumwa Kiev hatimaye zinaishia mikononi mwa makundi ya kigaidi yenye silaha barani Afrika.
-
Jibu la Iran kwa madai ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki
Jun 01, 2025 04:10Wizara ya Mambo ya Nje na Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran zimejibu katika taarifa ya pamoja madai yasiyo na msingi na ya kisiasa ya hivi karibuni ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA .
-
Je, Hamas inasisitiza vipaumbele vipi kabla ya kukubali usitishaji mapigano?
Jun 01, 2025 02:34Jihad Taha, Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema: "Tumemuomba mpatanishi wa Marekani atoe dhamana nzito na za kimaandishi kwa ajili ya kusimamisha vita vya utawala wa Israel dhidi ya Gaza."
-
Kwa nini Marekani inafuatilia sana kupanua uhusiano na utawala wa Julani?
May 31, 2025 22:57Baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kuamuru kuondolewa vikwazo dhidi ya Syria, makazi ya balozi wa Marekani mjini Damascus sasa yamefunguliwa tena baada ya miaka 13.
-
Je, suala la watu wa Gaza ni kutambuliwa tu taifa la Palestina?
May 31, 2025 01:55Huku mashambulizi ya kikatili ya mara kwa mara katika Ukanda wa Gaza yakiingia katika mwezi wake wa ishirini na picha za kutisha za watoto waliouawa kinyama zikionyeshwa kila siku, nchi nne za Ulaya zimetoa taarifa ya pamoja ya kutaka uanachama kamili wa Palestina utambuliwe rasmi katika Umoja wa Mataifa.
-
Je, uhusiano wa serikali ya Julani na utawala wa Kizayuni unaelekea wapi?
May 31, 2025 00:10Vyanzo vya habari vimetangaza kuwa ujumbe unaohusiana na serikali ya mpito ya Syria umefanya mazungumzo ya siri na viongozi wa utawala haramu wa Israel.
-
Je, kubadilika mkakati wa kijeshi wa Marekani barani Afrika, ni kurudi nyuma au kubadilishwa mbinu?
May 30, 2025 08:49Jeshi la Marekani linaendelea kubadilisha na kulegeza misimamo yake ya awali kuhusu "utawala bora" barani Afrika na kukabiliana na vyanzo vya uasi na machafuko, na sasa linasisitiza kwamba serikali dhaifu za Kiafrika zinazoshirikiana na Marekani zinapasa kujitegemea zenyewe kijeshi na kiusalama.
-
Je, utawala wa Trump unataka kubadilisha kisiasa mazingira ya vyuo vikuu vya Marekani?
May 29, 2025 23:35Kutokana na hali ya mvutano inayoendelea kati ya utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani na Chuo Kikuu cha Harvard, serikali imetaka kufutwa kwa kandarasi zote za kifedha na chuo hicho.
-
Je, kwa nini Ujerumani, muungaji mkono mkubwa zaidi wa Ulaya kwa utawala wa Kizayuni, sasa inaonekana kuukosoa utawala huo?
May 29, 2025 02:48Friedrich Mertz, Kansela wa Ujerumani alibadilisha sauti yake kuhusiana na utawala wa Kizayuni mnamo Jumanne, Mei 27 na kusema: "Mashambulio makubwa ya kijeshi ya Waisraeli katika Ukanda wa Gaza hayana mantiki tena kwangu."