-
Je, Iran imekabiliana vipi na bwabwaja za Trump dhidi ya Kiongozi wa Mapinduzi?
Jun 30, 2025 02:16Bwabwaja na hambarara za Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu Imam Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran zimekabiliwa na radiamali kali kutoka kwa viongozi wa Iran.
-
Je, mahudhurio ya mamilioni ya watu katika mazishi ya "Mashahidi wa Nguvu" yametoa ujumbe gani kwa walimwengu?
Jun 29, 2025 08:25Mazishi ya "Mashahidi wa Nguvu" ya Iran yamekuwa dhihirisho la mshikamano na uzalendo wa Wairani wa matabaka tofauti, ambao wametuma ujumbe wa umoja wao wa kitaifa kwa walimwengu kupitia ushiriki wao mkubwa katika mazishi hayo.
-
Je, Iran ilipata mafanikio gani ya kimkakati katika Vita vya Siku 12?
Jun 29, 2025 00:54Licha ya Vita vya siku 12 kati ya utawala wa Kizayuni na Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kusababisha hasara kubwa ya kimaada na isiyo ya kimaada, lakini pia vimekuwa na mafanikio ya kistratijia kwa Iran.
-
Je, vita vya Israel dhidi ya Iran vilikuwa na sifa zipi maalumu?
Jun 28, 2025 04:13Vita vya siku 12 vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vina sifa maalumu zinazotofautiana na vita vingine vya kieneo.
-
Donald Trump, Rais wa vita
Jun 25, 2025 07:39Baada ya hujuma ya hivi majuzi ya kijeshi ya Marekani dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran, gazeti la Russia limemtaja Donald Trump kuwa "Rais wa Vita".
-
Je, kwa nini Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa halikulaani Israel?
Jun 16, 2025 03:51Kikao cha dharura cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kilichofanyika kwa ombi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kufuatia mashambulizi ya kijeshi ya utawala wa Israel dhidi ya Iran, kwa mara nyingine tena kimefichua siasa za kundumakuwili za kimataifa na mapungufu makubwa yaliyoko katika muundo wa Baraza la Usalama.
-
Mashambulio ya makombora na ndege zisizo na rubani ya Iran dhidi ya Israel, mwisho wa zama za "kushambulia na kukimbia" kwa Israel.
Jun 15, 2025 08:45Baada ya utawala wa Kizayuni kuishambulia Iran kwa ushirikiano wa Washington asubuhi ya Ijumaa, Juni 13, na kupelekea kuuawa shahidi idadi kubwa ya makamanda waandamizi wa kijeshi na wanasayansi, pamoja na raia wa kawaida, Iran, kama ilivyoahidi awali, ilianza kutoa jibu kali kwa jinai hiyo na mauaji ya kimbari Ijumaa usiku kupitia operesheni ya mashambulio ya makombora na ndege zisizo na rubani, iliyopewa jina la Ali ibn Abi Talib.
-
Operesheni ya Iran dhidi ya Israel itaendelea kadiri itakavyolazimu
Jun 14, 2025 04:13Operesheni ya kulipiza kisasi ya Ahadi ya Kweli III inayotekelezwa na Iran dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel itaendelea kadiri inavyohitajika. Haya yamesemwa na Mshauri Mkuu wa Kijeshi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Uwezo mkubwa wa Iran wa kutoa pigo kali kwa utawala wa Kizayuni
Jun 13, 2025 08:25Ukiwa unatekeleza mpango wa pamoja na Marekani chini ya taa ya kijani ya Washington, baada ya vitisho vya mara kwa mara vya kushambulia vituo vya nyuklia vya Iran, hatimaye utawala wa Kizayuni umeanzisha mashambulizi ya anga dhidi ya shabaha mbalimbali nchini Iran alfajiri ya Ijumaa, Juni 13, ambayo yamepelekea kuuawa shahidi idadi kadhaa ya makamanda wakuu wa kijeshi na raia wa kawaida, wakiwemo wanawake na watoto.
-
Mngurumo wa mwisho wa Israel: 'Simba Anayeinukia' kusambaratishwa na kimbunga cha Iran
Jun 13, 2025 06:57Mashambulio ya utawala ghasibu wa Israel katika miji kadhaa ya Iran yamefanyika leo alfajiri huku mivutano na hali ya wasi wasi ikiendelea kuongezeka katika eneo, jambo linaloonyesha wazi nia ya Tel Aviv ya kuchochea machafuko katika eneo hili tata la Asia Magharibi, ambapo anga inabadilika haraka kwa maslahi ya mrengo wa muqawama.