-
Sababu za kuendelea Muqawama wa Yemen licha ya uungaji mkono mkubwa wa Marekani na Magharibi kwa utawala wa Kizayuni
Jun 12, 2025 02:06Licha ya uungaji mkono mkubwa wa Marekani na nchi za Magharibi kwa utawala ghasibu wa Israel, lakini operesheni za wapiganaji wa muqawama wa Yemen katika Bahari Nyekundu na ardhi zinazokaliwa kwa mabavu zingali zinaendelea.
-
Je, mashirikiano ya Iran na Afrika yataimarika vipi?
Jun 11, 2025 22:39Katika kikao chao na Abbas Araqchi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, mabalozi wa Senegal na Sierra Leone wamesisitiza utayari wa nchi za Kiafrika kwa ajili ya kuendeleza ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara na Iran.
-
Ni yapi mafanikio ya operesheni ngumu ya kiintelijensia ya Iran dhidi ya utawala wa Kizayuni?
Jun 11, 2025 02:31Taarifa muhimu ya Sekretarieti ya Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetolewa kufuatia operesheni ngumu na nyeti ya kiintelijensia katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel). Taarifa hiyo imesisitiza kuwa: “Tukishambuliwa, vituo vya siri vya nyuklia vya utawala wa Kizayuni vitalengwa."
-
Kwa nini wimbi la uungaji mkono kwa Palestina linaongezeka barani Ulaya?
Jun 10, 2025 22:43Roma, mji mkuu wa Italia, Jumamosi iliyopita ulishuhudia mojawapo ya maandamano makubwa zaidi dhidi ya Israel barani Ulaya.
-
Kwa nini Israel ina hasira dhidi ya kutumwa meli ya Madleen Gaza?
Jun 10, 2025 06:41Katika hali ambayo, meli ya "Madleen" iliyokuwa imebeba misaada ya kibinadamu ilikuwa imekaribia Gaza, majeshi ya Israel yalishambulia meli hiyo, na kuwateka nyara abiria wake na kuzuia misaada hiyo kufika Gaza.
-
Je, ni malengo gani yanafuatiliwa na Marekani na Troika ya Ulaya dhidi ya mpango wa nyuklia wa Iran?
Jun 09, 2025 22:44Licha ya malengo ya uhasama ya Marekani na Troika ya Ulaya, lakini Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaendeleza mafanikio yake ya nyuklia katika nyanja mbalimbali.
-
Siasa za kupinga uhamiaji huko Los Angeles zaibua mvutano kati ya serikali ya shirikisho na za majimbo?
Jun 09, 2025 06:43Hitilafu kuhusu siasa za kupinga uhamiaji na jinsi ya kukabiliana na waandamanaji huko Los Angeles zimeibua mvutano mkali kati ya serikali ya shirikisho ya Marekani na serikali ya Jimbo la California.
-
Namna kujiunga Iran na Benki Mpya ya Maendeleo ya BRICS kunaweza kubadilisha maingiliano ya kifedha na kibenki
Jun 08, 2025 22:43Mohammad Reza Farzin, Gavana wa Benki Kuu ya Iran, amekutana na Dilma Rousseff, Rais wa Benki Mpya ya Maendeleo ya BRICS katika kikao cha magavana wa benki kuu na mawaziri wa uchumi wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai mjini Beijing na kujadiliana naye kuhusu kuimarishwa maingiliano ya kifedha na kibenki na nchi wanachama wa kundi hilo.
-
Kwa nini Marekani imewawekea vikwazo majaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai?
Jun 08, 2025 03:15Marekani mnamo Alhamisi, Juni 5, iliwawekea vikwazo majaji wanne wa kike wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai kwa kushughulikia kesi zinazohusiana na Israel na hatua za Marekani nchini Afghanistan. Vikwazo hivyo, ambavyo mara nyingi huwekewa maafisa kutoka nchi zinazopinga Marekani, sasa vimewalenga maafisa wa mahakama ya kimataifa.
-
Araqchi aionya Troika ya Ulaya dhidi ya kuchua hatua yoyote ya uadui dhidi ya Iran katika Kikao cha Bodi ya Magavana ya IAEA
Jun 08, 2025 01:07Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa onyo la wazi kwa Ufaransa, Ujerumani na Uingereza kufuatia hatua za hivi karibuni za nchi tatu hizo za Ulaya katika Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA.