-
Kulindwa na kudumishwa umoja wa ardhi yote ya Syria, mkakati wa kikanda wa Iran
Dec 02, 2024 05:59Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri wa Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa kudumishwa na kulindwa umoja wa ardhi za nchi zingine ikiwemo Syria ni mkakati wa kikanda wa Iran. Rais Pezeshkian ametoa sisitizo hilo katika mazungumzo aliyofanya kwa njia ya simu na Waziri Mkuu wa Iraq, Mohammad Shia al-Sudani.
-
Mwisho wa uwepo wa jeshi la Ufaransa nchini Chad
Dec 01, 2024 23:07Serikali ya Chad imetangaza kukomesha makubaliano yake ya ushirikiano wa kijeshi na Ufaransa na kutangaza kuwa vikosi vya jeshi la nchi hiyo vinapaswa kuondoka nchini Chad.
-
Duru mpya ya hatua za kidiplomasia za Iran kwa ajili ya kukabiliana na makundi ya kitakfiri na kigaidi katika eneo
Dec 01, 2024 08:46Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanzisha duru mpya ya hatua za kidiplomasia katika eneo kwa ajili ya kukabiliana na makundi ya kigaidi na kitakfiri.
-
Harakati za magaidi nchini Syria; Duru mpya ya hatua za kambi ya Wazayuni na Marekani dhidi ya muqawama
Dec 01, 2024 00:38Sambamba na kusitishwa mapigano kati ya utawala wa Kizayuni na Lebanon, magaidi wa kaskazini mwa Syria kwa mara nyingine tena wameanzisha hujuma zao na kutekeleza vitendo vya kigaidi dhidi ya ardhi ya nchi hiyo.
-
Ombi la kukamatwa kiongozi wa kijeshi wa Myanmar
Nov 29, 2024 23:05Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) amemshutumu kiongozi wa kijeshi wa Myanmar kwa kufanya jinai dhidi ya binadamu katika kuwakandamiza Waislamu walio wachache wa Rohingya.
-
Mienendo ya kindumakuwili ya Ulaya kuhusu waranti ya kukamatwa watawala wa Israel
Nov 29, 2024 11:57Hatua ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC ya kutoa waranti ya kukamatwa Benjamin Netanyahu na Yoav Gallant, Waziri Mkuu na waziri wa zamani wa vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel imeakisiwa pakubwa kimataifa kwa kutilia maanani umuhimu wake na pia kutokana na kutochukuliwa hatua kama hiyo huko nyuma dhidi ya viongozi wa utawala huo ghasibu.
-
Kuendelea jinai za Israel; kukumbwa na njaa watoto 130,000 wa Gaza
Nov 28, 2024 23:01Shirika la kimataifa la kutoa misaada ya kibinadamu kwa ajili ya watoto la Save the Children limetangaza kuwa, watoto 130,000 walio chini ya umri wa miaka kumi wamezingirwa kwa siku 50 zilizopita kaskazini mwa Gaza bila chakula wala huduma matibabu.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kuongezwa uwezo wa kijeshi wa nchi
Nov 28, 2024 09:40Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Iran amesema, kuongeza utayari na uwezo wa kivita ndilo jukumu muhimu zaidi la vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Sisitizo la Trump la kuanza duru mpya ya vita vya ushuru katika kipindi cha pili cha urais
Nov 27, 2024 23:21Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kuwa katika siku yake ya kwanza akiwa Ikulu ya White House, atatoa agizo la kutozwa ushuru mpya bidhaa zote zinazoagizwa kutoka Mexico, Canada na China.
-
Kulazimika utawala wa Kizayuni wa Israel kukubali usitishaji vita Lebanon
Nov 27, 2024 05:28Hatimaye baada ya miezi 14 ya vita na migogoro kati ya utawala wa Kizayuni na Hizbullah ya Lebanon, usitishaji vita wa siku 60 ulianza kutekelezwa asubuhi ya leo (Jumatano) baina ya pande hizo mbili.