-
Yemen yayatwanga tena kwa makombora maeneo kadhaa ya Israel + Video
Dec 24, 2024 06:52Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni vimetangaza kuwa, mapema leo Jumanne kumesikika sauti za miripuko mikubwa mjini Tel Aviv na kwenye maeneo mengine ya katikati mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni ambazo zimepachikwa jina bandia la Israel.
-
Kwa mara nyingine rais kizee wa Marekani achapa usingizi mbele ya kamera barani Afrika + VIDEO
Dec 06, 2024 02:33Kwa mara nyingine dunia imeshuhudia jinsi rais kizee wa Marekani anavyoazirika mbele ya kamera za kimataifa wakati alipoonekana akichapa usingizi na baadaye kujifanya kama hakusinzia.
-
SEPAH: Magaidi 88 wameangamizwa na kutiwa mbaroni kusini mashariki mwa Iran + Video
Nov 24, 2024 07:28Msemaji wa luteka ya kijeshi ya kambi ya Quds ya Jeshi la Nchi Kavu la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH ametangaza habari ya kuangamizwa na kutiwa mbaroni magaidi 88 katika mazoezi ya kijeshi ya mashahidi wa usalama kwenye mkoa wa Sistan na Baluchistan wa kusini mashariki mwa Iran.
-
Sababu za kusalia imara Muqawama-2
Nov 17, 2024 02:39Hamjambo na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi chetu cha leo ambacho kinaendelea kuzungumzia sababu za kuendelea kusimama imara kambi ya Muqawama dhidi ya mabeberu na utawala wa Kizayuni wa Israel...
-
Filamu ya 'animesheni' kuhusu Palestina yatikisa hisia za walimwengu + Video
Nov 07, 2024 10:03Mtengenezaji filamu mmoja Muislamu raia wa Marekani ametengeneza filamu ya 'animesheni' iitwayo "Mimi ni kutoka Palestina" na kutikisa hisia za walimwengu katika kona mbalimbali za dunia.
-
Yahya Sinwar; Nembo ya Istiqama ya Palestina na Kusimama Imara Kukabiliana na Ughasibu
Nov 06, 2024 11:26Natumai hujambo mpenzi msikilizaji popote pale ulipo. Nakukaribisha kutegea sikio kipindi hiki maalumu, ambacho kitasimulia maisha na ushujaa wa Yahya Sinwar, mmoja wa viongozi watajika wa Kambi ya Muqawama na miongoni mwa waasisi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina, HAMAS. Endelea kuwa nami basi hadi tamati ya mazungumzo yetu.
-
Sayyid Hashem Safiyyuddin, Mjenga Hamasa ya Muqawama Itakayodumu Milele
Nov 06, 2024 09:06SalamuLlahi Alaykum wapenzi wasikilizaji, na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa kuuawa shahidi Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah, Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon, Sayyid Hashem Safiyyuddin.
-
Satelaiti mbili za Iran zarushwa kwa mafanikio katika anga za mbali + Video
Nov 05, 2024 03:16Satelaiti mbili za Iran zilizotengenezwa na wanasayansi wenyewe wa Jamhuri ya Kiislamu mapema leo Jumanne zimerushwa kwa mafanikio angani na kufungua mlango kwa sekta binafsi ya Iran kuingia katika tasnia ya anga za mbali.
-
Hizbullah yawatwanga tena Wazayuni kwa zaidi ya makombora 100 + Video
Nov 04, 2024 06:29Jeshi la utawala wa Kizayuni limekiri kwamba kwa uchache makombora 100 ya Hizbullah ya Lebanon yametwanga vituo vya kijeshi vya Israel katika kipindi cha saa 24 zilizopita.
-
Kwa mara nyingine wananchi wa Tunisia wataka balozi wa Marekani atimuliwe + Video
Nov 04, 2024 02:40Kwa mara nyingine tena wananchi wa Tunisiia wameandamana karibu na ubalozi wa Marekani mjini Tunis na kushinikiza balozi huyo wa dola la kibeberu atimuliwe nchini mwao.