nyumba ya sanaa
  • Askari Marekani alivyokoka baada ya kuangukiwa na mti mkubwa

    Askari Marekani alivyokoka baada ya kuangukiwa na mti mkubwa

    May 29, 2016 04:44

    Mwanadamu si mjuzi wa jambo litakalomtokea sekunde chache baadaye. Askari huyu wa nchini Marekani angelijua ataangukiwa na mti, angeliakhirisha kazi yake japo kwa dakika chache, lakini...

  • Mpanda pikipiki nusura alaliwe na lori la mchanga China

    Mpanda pikipiki nusura alaliwe na lori la mchanga China

    May 29, 2016 04:41

    Kama siku zako hazijafika, hufikwi na lolote kama inavyoonesha mpanda pikipiki huyu alivyookoka kwa sekunde chache tu kuelemewa na lori la mchanga nchini Uchina.

  • Mmarekani azima miale 191 ya moto mkali kwa ulimi wake

    Mmarekani azima miale 191 ya moto mkali kwa ulimi wake

    May 29, 2016 04:38

    Hii ni dunia ya kutafuta umaarufu. Mmarekani aweka rekodi ya kuzima miale 191 ya moto mkali kwa ulimi wake.

  • Kibarua alivyookoka kimiujiza kazini

    Kibarua alivyookoka kimiujiza kazini

    May 29, 2016 04:35

    Hakuna kazi isiyo na tabu zake na ajali kazini ni jambo la kawaida hasa katika kazi za kutumia nguvu kama inavyoonesha video hii.

  • Ngedere khabithi

    Ngedere khabithi

    May 27, 2016 08:46

    Katika wanyama wenye maudhu, tumbili au ngedere ni nambari moja. Ona tumbili huyu anavyoyachokoza makinda ya chui, baada ya kupata uhakika hayawezi kumfanya chochote...

  • Mtangazaji apigwa kibao akiwa LIVE hewani, kulikoni?

    Mtangazaji apigwa kibao akiwa LIVE hewani, kulikoni?

    May 21, 2016 12:44

    Mtangazaji wa televisheni ya Russia Today bila ya kutarajia alishitukia anazabwa kibao na mmoja wa waandamanaji wakati alipokuwa LIVE hewani akitoa ripoti kuhusu maandamano mapya ya wafanyakazi jijini Paris, Ufaransa.

  • Ndege wachokozi

    Ndege wachokozi

    May 21, 2016 12:39

    Kila kiumbe hai kimetengewa na wakati wake wa starehe, lakini starehe ya ndege hawa ni kuwachokoza wanyama wenzao... Angalia mwenyewe...

  • Dereva aokoka kimaajabu gari ikiwaka moto

    Dereva aokoka kimaajabu gari ikiwaka moto

    May 21, 2016 12:37

    Angalia namna dereva wa gari alivyookoka kimaajabu mjini Alaska Marekani, wakati alipopata ajali na gari yake kushika moto...

  • Uzembe katika kukata mti wamponza

    Uzembe katika kukata mti wamponza

    May 21, 2016 12:32

    Akili isiyo na maarifa huponza. Angalia uzembe aliofanya wakati anakata mti matokoe yake...