-
Wakati chui aina ya "jaguar" anapoamua kuwinda mfalme wa mtoni, mamba...
May 17, 2016 05:29Ingawa mamba anaonekana kuwa myama hatari zaidi anapokuwa mtoni, na ingawa kesi nyingi zilizoripotiwa, huwa zinahadithia mashambulizi yanayofanywa na mambo kwa watumiaji wa mto, lakini si kila siku mambo ni mshambuliaji kama inavyoonesha video hii fupi
-
Wanyama werevu
May 17, 2016 05:25Kila kiumbe cha Mwenyezi Mungu, kimeumbwa kwa hekima na umakini wa hali ya juu na kila leo kunagunduliwa maajabu mapya kutoka kwa viumbe hao kama inavyoonesha video hii kuhusu mambo ya ajabu yanayoweza kufanywa na wanyama na kuzidi kumfanya mwanadamu akiri uwezo usio na kifani wa Mwenyezi Mungu
-
Kampeni ya kukabiliana na ombamba Mombasa Kenya inaendelea
May 15, 2016 05:31Serikali ya Kaunti ya Mombasa imeazimia kuweka mikakati thabiti kwa ajili ya kudhibiti ongezeko la ombaomba walemavu katika maeneo ya kitalii mkoani Pwani Kenya.
-
Vijana wa Afrika Mashariki washiriki Mashindani ya Kimataifa ya Qurani ya Iran
May 14, 2016 10:24Vijana kutoka kanda ya Afrika Mashariki ni miongoni mahuffadh na maqari wanaoshiriki duru ya 33 ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani inayofanyika hapa mjini Tehran.
-
Nguvu za ndege aina ya tai
May 10, 2016 05:48Mwenyezi Mungu amewajaalia ndege aina ya tai kuwa na uwezo mkubwa wa kushambulia wanyama hata wakubwa na kuruka nao. Kipande hiki cha video kinaonesha sehemu ndogo ya nguvu hizo.
-
Uchaguzi Marekani: Ted Cruz amtwanga ngumi mkewe baada ya kushindwa na Trump
May 04, 2016 07:03Ted Cruz aliyekuwa anawania kuteuliwa na chama chake cha Republican kugombea urais wa Marekani wa tiketi ya chama hicho alishitukia amempiga ngumi ya uso mkewe, baada ya kushindwa na mgombea mwenzake Donald Trump na kuamua kujitoa kwenye kinyang'anyiro hicho.
-
Gari ilivyosombwa na maji ya mafuriko Kenya
May 01, 2016 04:52Mara nyingi uamuzi wa mtu mwenyewe ndio unaomtumbukiza kwenye matatizo kama ilivyojiri kwa derehe huyu wakati alipojaribu kuvuka daraja lililofunikwa na mafuriko nchini Kenya.
-
Kuongezeka "chokoraa" Mombasa, Kenya
May 01, 2016 03:53Jiji la Mombasa nchini Kenya limegubikwa na idadi kubwa ya familiza za watu wa kurandaranda mitaani maarufu kwa jina la chokoraa huku idadi kubwa ya watu wao wakiwa si wenyeji wa eneo la Pwani.
-
Je simba kweli ni mfalme wa mwituni?
Apr 30, 2016 04:35Imezoeleka kusikika watu wakimpandisha daraja ya juu simba na kufikia hadi ya kumwita ni mfalme wa mwituni, lakini video hii angalau itatilia shaka madai hayo na kukufanya ujiulize, hivi ni kweli simba ni mfalme wa mwituni.
-
Nyani walivyomuokoa swala na kifo
Apr 30, 2016 03:13Dunia ya wanyama ni ya sheria za msituni, mwenye nguvu kumla mwenzake, lakini baadhi ya wakati hutokezea matukio ambayo huwaokoa wanyonge kutoka katika tundu ya sindano kama alivyookoka swala huyu