-
Baadhi ya wakati wanyama wanawazidi binadamu kwa wema na ihsani
Apr 23, 2016 02:49Licha ya mnyama huyu anayejulikana kwa jina la dubu kuwa na njaa lakini njaa yake haikuwa sababu ya kumwanya ndege huru anayezama, afariki dunia na wala haikuwa sababu kwake kumla
-
Mtu hafi ila kwa siku yake kufika
Apr 21, 2016 08:53Madamu siku zako za kuishi duniani zingalipo, hakuna tukio linaloweza kuchukua roho yako. Muone huyu alivyoponea chup chupu na kuwa shahidi wa uhakika huo....
-
Badala ya magari haya kufanya kazi za ujenzi, yalianza vita vya kufa na kupona
Apr 21, 2016 08:49Magari haya yalitarajiwa yaweko kabika ujenzi na huduma kwa jamii lakini...
-
Je, kila kitu kinakwenda vile unavyotamani kiende?
Apr 21, 2016 08:47Alitaka kuweka rekodi ya kuendesha gani kwa kazi kubwa zaidi kuliko wote duniani.... matokeo yake....
-
Urafiki hauhusu binadamu kwa binadamu tu
Apr 21, 2016 08:42Moyo wa mwanadamu usipokuwa na madhambi unaweza kujenga urafiki na kiumbe chochote. Ona urafiki huu baina ya mtoto huyu na mbuzi
-
Baina ya roho na mali kipi chenye thamani zaidi?
Apr 21, 2016 08:38Wako baadhi ya watu wako tayari kusamehe roho zao kwa ajili ya mali, wewe una msimamo gani. Huyu kwenye tukiwa hili la mafuriko aliamua hivi. Unakubaliana naye?
-
Mwizi mwenye silaha alivyozidiwa nguvu mikono mitupu
Apr 21, 2016 08:24Wakati mwingine ushujaa wa moyoni una nguvu zaidi kuliko silaha. Angalia namna mwizi mwenye silaha alivyozidiwa nguvu watu wasio na silaha...
-
Sakata la uchaguzi wa Meya jijini Dar es Salaam, Tanzania + Sauti
Mar 06, 2016 14:39Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wameitaka mamlaka inayohusika kusimamia uchaguzi wa meya wa jiji hilo unaokwama kufanyika kutokana na kuahirishwa mara kwa mara, kutangaza tarehe rasmi ya kufanyika uchaguzi huo ili jiji hilo limpate kiongozi wake.
-
Mateso ya wakimbizi wa Burundi
Mar 01, 2016 07:33Marais wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC wanatazamiwa kukutana mjini Arusha Tanzania Jumatano, Machi 2 kujadili mmambo mbalimbali ya kanda hiyo.
-
Polisi wachoma moto mahema ya wakimbizi nchini Ufaransa
Mar 01, 2016 07:05Jeshi la polisi nchni Ufaransa limeharibu na kuchoma moto mahema ya wakimbizi nchini humo