-
FAO: Nchi zipatazo 60 zinakabiliwa na hali mbaya ya uhaba wa chakula wa viwango vya kutisha
May 08, 2023 02:59Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetangaza katika ripoti yake kwamba karibu nchi 60 duniani zinakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula na katika viwango vya kutisha.
-
Jasusi na kibaraka wa CIA, MOSSAD na SÄPO anyongwa nchini Iran
May 06, 2023 07:15Hukumu ya kifo iliyotolewa na Mahakkama ya Iran dhidi ya Habib Farajollah Chaab, kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita Harakat al-Nidal, ambalo liliua makumi ya watu wasio na hatia, wakiwemo wanawake na watoto, kupitia mashambulizi kadhaa ya kigaidi nchini Iran, imetekelezwa leo asubuhi (Jumamosi).
-
Rais wa Zanzibar aadhimisha Siku ya Vyombo vya Habari kwa maagizo matano + SAUTI
May 04, 2023 02:10Jana Jumatano, Mei 3, 2023 ilikuwa ni siku ya vyombo vya habari. Rais Hussein Ali Hassan Mwinyi wa Zanzibari ametua fursa hiyo kutoa maagizo matano. Moja ya maagizo hayo ni kuwataka waandishi wa habari kutumia siku hiyo kuandaa hafla zinazohusu uhusiano kati ya uhuru wa vyombo vya habari, kujieleza na haki nyingine. Harith Subeit na maelezo zaidi kutoka Zanzibar.
-
Mapatano ya kusitisha mapigano Sudan yakiukwa, milio ya risasi yasikika
Apr 22, 2023 06:09Mashambulizi ya mara kwa mara yalirindima katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum hata baada ya pande mbili hasimu kutangaza kusitisha mapigano, huku upande mmoja ukitangaza kuwa tayari kuruhusu viwanja vya ndege kufunguliwa tena kwa ajili ya kuwahamisha raia wa kigeni.
-
IMN yazienzi familia za Mashahidi wa njia ya Muqawama wa nchini Nigeria
Apr 19, 2023 06:32Harakati ya Kiislamu ya Nigeria IMN inayoongozwa na Sheikh Ibrahim Zakzaky siku ya tarehe 27 ya mwezi mtukufu wa Ramadhani ilifanya hafla ya kuzienzi na kuzipongeza familia za mashahidi wa Siku ya Quds Duniani na wa maandamano ya Ashura nchini humo.
-
Wakazi wa London waadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds Jumapili hii
Apr 16, 2023 11:28Mikusanyiko na maandamano mbalimbali ya kuunga mkono Palestina yamefanyika mjini London leo Jumapili katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds.
-
Dua ya siku ya ishirini na moja ya mwezi wa Ramadhani
Apr 12, 2023 04:20Dua ya siku ya ishirini na moja ya mwezi wa Ramadhani
-
Kanani Chafi: Nchi za Kiislamu zizuie kupotoshwa fikra za waliowengi kuhusu kadhia ya Palestina
Apr 10, 2023 11:39Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa nchi za Kiislamu zina wajibu wa kuuzuia utawala wa Kizayuni kutumia anga za kisiasa katika eneo kwa ajili ya kupotosha fikra za waliowengi kuhusu suala la Palestina.
-
IRGC ya Iran imefanikiwa kufanyia majaribio ndege mpya isiyo na rubani ya kamikaze
Apr 10, 2023 02:06Kikosi cha Nchi Kavu cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kimefanikiwa kufanyia majaribio ndege mpya isiyo na rubani ya kujilipua (kamikaze), iliyopewa jina la Me’raj 532, iliyoundwa na kutengenezwa na wataalamu vijana wa Iran.
-
Hafla kubwa zaidi ya futari yafanyika Ethiopia
Apr 09, 2023 11:30Baraza Kuu la Masuala ya Kiislamu la Ethiopia limefanya hafla kubwa zaidi ya Iftar katika uwanja wa Al-Thaura mjini Addis Ababa, mji mkuu wa nchi hiyo, wakati huu wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.