-
Pompeo: Ndani ya CIA tulikuwa na kozi maalumu ya namna ya kusema uongo na kutapeli + Video
Apr 23, 2019 23:59Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ambaye zamani alikuwa Mkuu wa Shirika la Kijasusi la nchi hiyo CIA amesema kuwa shirika hilo lilikuwa na kozi maalumu ya kufundisha watu kusema uongo na kutapeli na kusisitiza kuwa hiyo ni katika fakhari za Marekani.
-
SAUTI, Ufaransa ambayo ni mkandamizaji mkubwa wa vuguvugu la Vizibao vya Njano, yawawekea vikwazo maafisa wa polisi wa Burundi
Apr 22, 2019 11:53Mashirika yasiyokuwa ya kiserikali ya Capes+ na Pisc Burundi, yamesema kuwa viukwazo vilivyotangazwa na serikali ya Ufaransa dhidi ya maafisa kadhaa wa polisi nchini Burundi, vimedhihirisha chuki ya hali ya juu iliyonayo Paris kwa nchi hiyo.
-
SAUTI, Kundi la Kiwahabi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) latangaza uwepo wake ndani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Apr 19, 2019 13:56Fumbo la muda mrefu ambalo lilikuwa likiwatatiza viongozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuhusiana na uwepo wa mahusiano kati ya genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) na kundi la waasi la ADF-NALU la nchini Uganda limefumbuliwa.
-
SAUTI, Hatimaye mahkama ya kilele nchini Uganda yamsafishia njia Rais Museven kuweza kugombea urais 2021
Apr 19, 2019 13:52Hatimaye mahkama ya kilele nchini Uganda imetoa hukumu ya kesi ya rufaa iliyofunguliwa na mwanasheria Male Mabirizi ambayo ilikuwa ikipinga kuondolewa kipengee cha umri wa mgombea urais.
-
SAUTI, Ripoti ya matukio ya Kiislamu, madrasa zatakiwa kuwa na mtaala mmoja, Mufti wa Tanzania asema; Uislamu haukatazi uzazi wa mpango
Apr 19, 2019 13:51Ripoti ya matukio ya Kiislamu iliyoandaliwa na mwandishi wetu wa visiwani Zanzibar, Harith Subeit. Inaanza kuangazia macho sisitizo la uwepo wa mitaala ya kufundishia kwa ajili ya madrasa zote visiwani Zanzibar.
-
Qarii Rajayi Ayoub wa Tanzania: Mashindano ya Kimataifa ya Qurani ya Iran ni chanzo cha umoja wa Waislamu+Sauti
Apr 18, 2019 03:36Qarii mashuhuri wa Qur'ani Tukufu kutoka nchini Tanzania Ustadh Rajayi Ayoub amesema Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran ni fursa muhimu ya kuleta umoja miongoni mwa Waislamu duniani.
-
Qarii wa Qur'ani kutoka Kenya asisitiza umoja Waislamu wa Madhehebu ya Shia na Sunni+Sauti
Apr 18, 2019 03:21Qarii wa Qur'ani Tukufu kutoka Kenya ambaye ameshiriki katika Mashindano 36 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran amesema mashindano hayo yanaimarisha umoja baina ya Waislamu.
-
Mahojiano na mshindi wa mashindano ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu ya mjini Tehran + Sauti
Apr 14, 2019 13:46Mashindano ya 36 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu yamemalizika leo Jumapili, Aprili 14, 2019 hapa mjini Tehran na kushindanisha washiriki kutoka nchi 83 za dunia.
-
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania alaani kauli ya Profesa Assad + Sauti
Apr 14, 2019 13:41Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amelaani hatua ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Profesa Mussa Asaad ya kukariri kauli yake kuwa bunge hilo ni dhaifu. Ammar Dachi na maelezo zaidi...
-
Zarif: Hatua ya Marekani dhidi ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ni hatari
Apr 14, 2019 12:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema hatua isiyo ya kawaida ya Marekani dhidi ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu itakuwa na matokeo hatari sana.