-
Raila atetea ushirikiano wake na Rais Uhuru Kenyatta Kenya +Sauti
Nov 04, 2018 03:02Kiongozi wa Upinzani nchini Kenya Raila Amolo Odinga amewakosoa wale wanaosema kuwa ufanisi wake na Rais Uhuru Muigai Kenyatta kisiasa unatokana na urithi wa nasaba zao na badala yake amesisitiza ni juhudi zao endelevu kisiasa ndizo zimewapa umaarufu huo. Kwa maelezo zaidi tunajiunga na Seifullah Murtadha wa mjini Mombasa, Kenya...
-
Iran yaanza kuzalisha kwa wingi ndege ya kivita aina ya 'Kauthar' + Video
Nov 03, 2018 23:11Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanza kuzalisha kwa wingi ndege ya kisasa ya kivita iliyopewa jina la 'Kauthar'.
-
Tamasha la kimataifa la wasoma Kasida lafanyika visiwani Zanzibar + Sauti
Nov 03, 2018 04:41Tamasha la kimataifa la Kasida limefanyika kisiwani Unguja huko Zanzibar kwa kushirikisha munshidi kutoka ndani ya Zanzibar na nje yake bali hata kutoka nchini Oman. Maelezo zaidi yamo katika ripoti ya matukio ya Kiislamu iliyoandaliwa na mwandishi wetu Harith Subeit...
-
Serikali ya Kenya yawaonya vikali wanaowafanya watoto kiwanja cha mazoezi ya maovu yao + Sauti
Nov 03, 2018 04:34Serikali ya Kenya imetoa onyo kali kwa watu waovu wanaowatumia vibaya kijinsia watoto wadogo hasa wanafunzi wa shule. Maelezo zaidi anayo mwandishi wetu Seifullah Murtadha kutoka Mombasa, Kenya...
-
Wauguzi kupigwa chanjo ya ugonjwa hatari wa Ebola nchini Uganda + Sauti
Nov 03, 2018 04:26Wauguzi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kupigwa chanjo ya ugonjwa hatari wa Ebola nchini Uganda.
-
Wanafunzi 16,709 visiwani Zanzibar kufanya mitihani ya Kidato cha Nne mwaka huu + Sauti
Oct 31, 2018 14:27Jumla ya wanafunzi 16,709 visiwani Zanzibar wiki ijayo wanatazamiwa kufanya mitihani yao ya taifa ya Kidato cha Nne. Mwandishi wetu wa Zanzibar, Harith Subeit na maelezo zaidi...
-
Mahakama maalumu ya jinai yazinduliwa Jamhuri ya Afrika ya Kati + Sauti
Oct 24, 2018 02:25Mahakama maalumu ya jinai za kivita imezinduliwa rasmi huko Jamhuri ya Afrika ya Kati ambayo ni miongoni mwa nchi masikini zaidi duniani. Nchi hiyo ilitumbukia kwenye mgogoro wa kisiasa mwaka 2013 baada ya kuondolewa madarakani rais wa zamani wa nchi hiyo François Bozizé na waasi wa Seleka. Mossi Mwasi na maelezo zaidi...
-
Vikao vya Bunge la Afrika vyaanza mjini Kigali Rwanda + Sauti
Oct 22, 2018 13:32Bunge la Afrika limefungua kikao chake cha wiki mbili mjini Kigali Rwanda ambapo kwa muda wa wiki mbili wabunge wake watajadili mambo kadhaa kuhusu demokrasia,uongozi bora na kurahisisha mafungamano ya biashara baina ya waafrika wenyewe. Ni kikao kilichofunguliwa na Rais Paul Kagame wa Rwanda ambaye pia ni mwenyekiti wa Umoja wa Afrika.
-
Wimbi la wakimbizi wa Kongo laleta matatizo nchini Uganda + Sauti
Oct 22, 2018 13:28Idadi kubwa ya wakimbizi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanazidi kumiminika katika nchi jirani ya Uganda na kusababisha matatizo mengi ya kuwahudumia. Kigozi Ismael na maelezo zaidi kutoka Kampala
-
SAUTI, Serikali ya Tanzania yaazimia kulipatia jeshi la polisi vifaa vya kisasa kukabiliana na uhalifu ikiwemo sekta ya utalii
Oct 20, 2018 13:20Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema kuwa inayo azma ya kulipatia jeshi la polisi vitendea kazi kwa lengo la kukabiliana na changamoto za uhalifuu nchini humo.