-
Kampuni ya Iran yazindua dawa ya kutibu kisukari aina ya 2 na unene kupita kiasi
Aug 19, 2025 23:16Kampuni ya kitaaluma ya Iran imezindua dawa ya asili iliyoundwa nchini, inayolenga matibabu ya wagonjwa wanaougua kisukari aina ya 2, kinachojulikana kama T2D, unene kupita kiasi, pamoja na tatizo la usingizi wa kupumua kwa shida (sleep apnea).
-
Iran na Armenia zatia saini hati 10 za maelewano wakati wa ziara muhimu ya Pezeshkian
Aug 19, 2025 08:06Iran na Armenia zimetia saini hati 10 za maelewano kuhusu ushirikiano wa nchi hizo katika nyanja zote wakati wa ziara muhimu ya kiserikali ya Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran huko Armenia. Lengo la ziara hiyo limetajwa kuwa ni kuimarisha uhusiano kati ya nchi mbili.
-
Waziri wa Mambo ya Ndani: Zaidi ya 70% ya raia wa Afghanistan wamerudi nchini mwao kwa hiari yao
Aug 19, 2025 03:24Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza kuwa zaidi ya asilimia 70 ya raia wa Afghanistan wamerudi nchini mwao kwa hiari yao.
-
Naibu kamanda wa IRGC: Israel ilikwenda kombo katika hesabu zake katika vita vya siku 12 dhidi ya Iran
Aug 18, 2025 23:27Naibu Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema kuwa Israel ilifanya mahesabu ghalati katika vita vya sku 12 ilivyovianzisha dhidi ya Iran licha ya kwamba utawala huo ulitumia nguvu kamili dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran yaonya: Israel itajitanua zaidi Asia Magharibi iwapo haitadhibitiwa
Aug 18, 2025 07:34Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran, Esmaeil Baqaei amesema Israel ni tishio kwa usalama na uthabiti wa Asia Magharibi kutokana na mwenendo wake wake kupenda kujitanua, akionya kuwa eneo hili la kistratejia linaweza kukabiliwa na vita visivyoisha ikiwa utawala huo hautazuiwa.
-
Kwa nini Ulaya sasa inatafuta kuamilisha utaratibu wa Snapback baada ya miaka mingi ya kutokuchukua hatua?
Aug 18, 2025 04:53Wakati nchi tatu za Ulaya zinajaribu kutumia utaratibu wa Snapback dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, mbali na Iran yenyewe, Russia na China pia zinapinga utumiaji wa utaratibu huo au urejeshaji otomatiki wa vikwazo vya Umoja wa Mataifa, na kuutaja kuwa kinyume cha sheria.
-
Iran yalaani uamuzi wa Israel wa kuwafurusha Wapalestina Jiji la Gaza
Aug 18, 2025 03:15Iran imelaani vikali uamuzi wa Israel wa kuwalazimisha Wapalestina kuhama makazi yao na kuelekea kusini mwa Gaza na kusisiitiza kuwa, jamii ya kimataifa na nchi za Kiislamu zina wajibu wa kukabiliana na uhalifu huo wa kutisha wa kivita.
-
Larijani: Israel imedhoofika kutoka na wimbi la makombora ya Iran
Aug 17, 2025 23:59Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran (SNSC), Ali Larijani amesema kuwa, wimbi la mashambulio ya makombora ya Iran lilimfanya adui Mzayuni akate tamaa kikamilifu wakati wa vita vya siku 12 vya Israel ilivyoitwisha Jamhuri ya Kiislamu.
-
Kwa nini msimamo wa Umoja wa Nchi za Kiislamu dhidi ya mpango wa "Israel Kubwa" ni hatua ya kukabiliana na kujitanua kwa utawala wa Kizayuni?
Aug 17, 2025 23:24Katika radiamali ambayo haijawahi kushuhudiwa tena huko nyuma, nchi 31 za Kiislamu zimetoa taarifa ya pamoja zikilaani mpango wa Benjamin Netanyahu wa kuunda "Israeli Kubwa" na huku zikitahadharisha kuhusu hatari ya sera hiyo ya kupenda kujitanua, zimeutaja mpango huo kuwa tishio kwa usalama wa eneo, ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa na hatua ya kuchochea ghasia na ukosefu wa amani katika eneo la Asia Magharibi.
-
Magaidi kadhaa waangamizwa katika operesheni ya IRGC kusini mashariki mwa Iran
Aug 17, 2025 08:48Vikosi vya usalama vya Iran vimesambaratisha mtandao mkubwa wa magaidi wakufurishaji na kuua kadhaa miongoni mwao, mbali na kunasa silaha na mabomu kadhaa katika mkoa wa kusini mashariki wa Sistan na Baluchestan.