-
Pezeshkian asisitiza haja ya ushirikiano wa nchi za eneo ili kukabiliana na ugaidi
Apr 26, 2025 23:24Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kuna udharura wa kuwepo na ushirikiano thabiti miongoni mwa nchi za eneo hili, ili kwa pamoja ziweze kupambana na zimwi la ugaidi.
-
Mripuko mkubwa watikisa bandari ya Shahidi Rajaee kusini mwa Iran, 5 wafariki, zaidi ya 500 wajeruhiwa
Apr 26, 2025 11:47Mripuko mkubwa umetokea katika bandari ya Shahidi Rajaee kusini mwa Iran na kusababisha uharibifu mkubwa na hasara, huku timu za utoaji huduma za dharura zikikimbilia katika eneo la tukio ili kudhibiti hali hiyo.
-
Iran na Marekani zahitimisha duru ya tatu ya mazungumzo yasiyo ya ana kwa ana mjini Muscat
Apr 26, 2025 10:46Duru ya tatu ya mazungumzo yasiyo ya ana kwa ana kati ya wawakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Marekani, ambayo imefanyika Muscat, mji mkuu wa Oman kwa uratibu wa serikali ya nchi hiyo, imemalizika kama ilivyopangwa.
-
Hatua mpya katika kuzidisha kiwango cha ushirikiano kati ya Iran na Russia
Apr 26, 2025 07:20Miamala ya kibiashara kati ya Iran na Russia inazidi kuongezeka katika nyanja mbalimbali za kiuchumi hususan katika sekta ya nishati na usafirishaji.
-
Araqchi: Iran iko tayari kupatanisha kati ya India na Pakistan
Apr 26, 2025 03:35Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araqchi ametangaza kwamba Tehran iko tayari "kufanya juhudi za kuzidisha maelewano kati ya India na Pakistan katika kipindi hiki kigumu.
-
Waziri wa Utamaduni wa Iran anamuwakilishi Rais Pezeshkian katika maziko ya Papa
Apr 26, 2025 02:33Waziri wa Utamaduni na Mwongozo wa Kiislamu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Sayyid Abbas Salehi, yuko Roma ambako anashiriki katika maziko ya aliyekuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki, Papa Francis, kwa niaba ya Rais Masoud Pezeshkian.
-
Iran yamwita balozi wa Uholanzi juu ya tuhuma 'zisizo na msingi' dhidi ya Tehran
Apr 25, 2025 23:09Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imemwita balozi wa Uholanzi kuwasilisha malalamiko makali ya Tehran dhidi ya tuhuma "zisizo na msingi" zilizotolewa na Uholanzi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Trump adai yuko tayari kukutana na Kiongozi Muadhamu wa Iran
Apr 25, 2025 23:09Rais wa Marekani Donald Trump amesema yuko tayari kukutana na Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian au Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, amesema hayo katika mahojiano na TIME.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Mazungumzo na Marekani yanaendelea kwa tahadhari
Apr 25, 2025 10:17Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran, Hujjatul-Islam Sayyid Mohammad Hassan Abu-Torabi Fard amesisitiza kuwa mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Iran na Marekani yanafanyika kwa tahadhari na kutoka kwenye nafasi yenye nguvu na heshima.
-
Baqaei: Mashambulizi dhidi ya makazi ya muda ya wakimbizi ni mfano halisi wa uhalifu wa kivita
Apr 25, 2025 09:23Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali hujuma na vitendo vya kigaidi vya utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza na Lebanon.