-
Iran: Tuko tayari kuanzisha upya mazungumzo ya kuondoa vikwazo
Jan 21, 2025 23:20Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na Masuala ya Kisheria, Kazem Gharibabadi amesema kuna misingi na fursa zinazofaa za kuanzisha tena mazungumzo na pande nyingine.
-
Ahmad Nouruzi aipongeza taasisi ya HRF kwa kuwaandama kisheria viongozi wa Israel
Jan 21, 2025 07:37Mkuu wa Kitengo cha Matangazo ya Ng'ambo cha Shirika la Sauti na Televisheni la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) amepongeza juhudi za Taasisi ya Hind Rajab (HRF) kwa kuendesha juhudi za kimataifa za kuwafungulia mashtaka na kuwaandamana kisheria viongozi wahalifu wa Israel kwa jinai zao huko Ghaza.
-
Qur'ani ndio sababu ya istiqama ya watu wa Gaza; Ujumbe mpya wa ukurasa wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Jan 21, 2025 03:48Akaunti ya khamenei.ir katika mtandao wa kijamii wa X imechapisha ujumbe kwa lugha kadhaa za Ulaya kwa mnasaba wa kuadhimisha mwaka wa kumi wa barua ya Imam Ali Khamenei kwa vijana wa Ulaya na Amerika Kaskazini.
-
Iran yasisitiza kuwa uwezo wake wa kiulinzi na kijeshi hauwezi katu kuwa suala la kujadiliwa
Jan 20, 2025 23:08Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Esmaeil Baghaei amesema, uwezo wa kiulinzi wa Iran hauwezi katu kuwa suala la kujadiliwa na kuzungumziwa.
-
Kutekelezwa Makubaliano ya Kifedha kati ya Iran na Russia
Jan 20, 2025 23:03Gavana wa Benki Kuu ya Iran, Mohammadreza Farzin, amesema kuwa kupitia utekelezaji wa makubaliano ya kifedha kati ya Iran na Russia, sarafu za mataifa haya mawili zitakuwa msingi wa biashara kati ya nchi hizo kwa mujibu wa kiwango cha mabadilishano kilichokubaliwa sokoni.
-
Rais wa Iran awapongeza wananchi wa Gaza kwa ushindi dhidi ya Israel
Jan 20, 2025 07:57Rais Masoud Pezeshkian wa Iran leo Jumatatu amewapongeza wananchi wa Ukanda wa Gaza kwa ushindi wao katika kukabiliana na vita vya kikatili na mauaji ya kimbari ya utawala wa Israel yaliyoendelea kwa miezi 15.
-
Kamanda wa Kikosi cha Quds: Kipigo kikubwa zaidi dhidi ya Israel kimeonekana
Jan 20, 2025 00:02Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) amesema kuwa, kuanza utekelezaji wa usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza kumedhihirisha pigo na kushindwa zaidi kwa utawala wa Kizayuni kutadhihirika.
-
Mazungumzo ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Yemen kuhusu matukio ya eneo
Jan 19, 2025 23:06Sayyid Abbas Araqchi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amefanya mazungumzo ya simu na Jamal Ahmed Ali Amer, Waziri wa Mambo ya Nje na Wahamiaji wa Jamhuri ya Yemen, na kusisitiza kuendelea kwa msaada wa Iran kwa serikali na watu wa Yemen.
-
Kiongozi wa Mapinduzi atoa mkono wa pole kufuatia kuuawa shahidi Mahakimu wawili wa Idara ya Mahakama
Jan 19, 2025 07:11Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametoa salamu za rambirambi na mkono wa pole kufuatia kuuawa shahidi katika shambulio la kigaidi mahakimu wawili wa Idara ya Mahakama ya Iran.
-
Pezeshkian: Hatuhitaji Magharibi kulinda usalama wa eneo hili
Jan 19, 2025 02:44Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Iran na Russia kwa kushirikiana vizuri zinaweza kufuata sera huru na kudhamini usalama wa kisiasa na kiuchumi wa eneo hili.