-
Mashauriano ya Iran na Ethiopia ya kupanua uhusiano wa kiuchumi
Jan 19, 2025 02:32Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayeshughulikia masuala ya Bunge amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mshauri katika Wizara ya Masuala ya Kigeni ya Ethiopia ambapo wamejadiliana njia za kupanua ushirikiano wa kiuchumi baina ya nchi hizi mbili ikiwemo uanachama katika kundi la "BRICS".
-
Makubaliano ya ushirikiano wa kimkakati kati ya Iran na Russia; ni nini na kwa nini ni muhimu?
Jan 18, 2025 09:25Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia zimetiliana saini makubaliano ya ushirikiano wa kimkakati katika safari ya Rais Masoud Pezeshkian mjini Moscow.
-
Araqchi: Asili ya makubaliano ya Iran na Russia ni ya kiuchumi
Jan 18, 2025 07:37Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa makubaliano ya kina ya kimkakati ya ushirikiano kati ya Iran na Russia yanahusu vipengee vyote vya uhusiano wa nchi na kwamba asili ya makubaliano hayo zaidi ni katika uga wa uchumi.
-
Rais Pezeshkian arejea Tehran baada ya kutembelea Tajikistan na Russia
Jan 18, 2025 03:15Rais Masoud Peshkeskian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye alikuwa kwenye ziara za kikazi za kutembelea Dushanbe na Moscow akiongoza ujumbe wa ngazi za juu kwa mwaliko rasmi wa Marais Emomali Rahmon wa Tajikistan na Vladimir Putin wa Russia, amerejea hapa Tehran mapema leo Jumamosi.
-
Qalibaf: Iran imesimama imara kuwatetea Waislamu duniani
Jan 17, 2025 23:12Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema: Iran siku zote inasisima imara na imeonyesha kuwa ni nchi pekee inayowatetea Waislamu wote bila ya kujali madhehebu zao na imetoa maelfu ya mashahidi katika njia hii.
-
Rais Pezeshkian: Iran, Russia ziko imara katika uhusiano ‘nyeti wa kimkakati’
Jan 17, 2025 10:40Rais Masoud Pezeshkian anasema Iran na Russia zimesimama kidete katika uhusiano "nyeti, muhimu na wa kimkakati" wa pande zote.
-
Imamu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Ushindi wa Gaza ni muujiza wa kambi ya Muqawama
Jan 17, 2025 10:39Imamu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran ameutaja ushindi wa Wapalestina katika Ukanda wa Gaza dhidi ya utawala ghasibu wa Israel kuwa ni muujiza wa Muqawama.
-
Araqchi aipongeza Hamas kwa ushindi dhidi ya Israel
Jan 17, 2025 10:33Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameipongeza Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) kwa ushindi wa muqawama na wananchi wa Palestina dhidi ya Israel katika vita na mauaji ya kimbari ya utawala huo katika Ukanda wa Gaza.
-
Rais wa Iran awasili Russia kutia saini mkataba wa ushirikiano wa kistratijia wa miaka 20
Jan 17, 2025 09:37Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amewasili nchini Russia katika hatua ya pili ya ziara yake baada ya ziara yake ya siku mbili nchini Tajikistan.
-
Ghalibaf: Changamoto ya uhusiano wa kiuchumi wa Iran na Afrika ni usafiri
Jan 17, 2025 03:51Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ameyataja matatizo ya usafiri kuwa ni miongoni mwa changamoto kubwa katika kupanua uhusiano wa kiuchumi wa Iran na bara la Afrika akisema: Uwezo wa kimataifa kama wa kundi la BRICS na Shanghai ni fursa muhimu za kustawisha ushirikiano wa kiuchumi.