-
Radiamali ya Iran kuhusu jinai ya utawala wa Israel ya kulipua vyombo vya mawasiliano vya pager nchini Lebanon
Sep 19, 2024 07:03Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani jinai ya kigaidi ya Wazayuni ya kulipua vyombo vya mawasiliano vya "pager" katika maeneo tofauti ya Lebanon na kusema jinai hiyo ni aibu kubwa kwa nchi za Magharibi hususan Marekani.
-
Tehran na Moscow zasisitiza kufikia makubaliano jumuishi ya kimkakati kati yao
Sep 19, 2024 03:45Rais Vladimir Putin wa Russia amekubali pendekezo la Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo ya kutiwa saini makubaliano ya kina ya ushirikiano wa kimkakati na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Rais wa Iran atoa mkono wa pole kwa wananchi wa Lebanon kufuatia jinai ya juzi ya Wazayuni
Sep 19, 2024 03:22Rais wa Iran ametoa mkono wa pole kwa wananchi wa Lebanon kufuatia jinai ya juzi ya Wazayuni nchini humo ambapo raia kadhaa wa nchi hiyo wameuawa shahidi na wengine wengi kujeruhiwa.
-
Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umeanza Tehran kwa kuhudhuriwa na Rais wa Iran
Sep 19, 2024 03:18Mkutano wa 38 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umeanza leo hapa mjini Tehran kwa kuhudhuriwa na Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran na Russia katika njia ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili
Sep 19, 2024 03:11Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu wa Baraza la Usalama la Shirikisho la Russia kwa madhumuni ya kuboresha mahusiano ya pande mbili.
-
Mkuu wa IAEA atembelea maonyesho ya mafanikio ya nyuklia ya Iran
Sep 19, 2024 01:16Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) Rafael Grossi ametembelea mafanikio ya Iran katika sekta ya nyuklia, na kusema Jamhuri ya Kiislamu imepiga hatua kubwa katika sekta mbalimbali za sayansi.
-
Nia njema ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kuendeleza uhusiano na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA)
Sep 19, 2024 01:00Mohammad Eslami, Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo na Rafael Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kando ya Mkutano Mkuu wa 68 wa wakala huo huko Vienna, kwamba Uhusiano wa Iran na wakala huo utaendelea kuwa imara na kwamba mchakato huo utadumishwa madamu maslahi ya Iran yatazingatiwa.
-
Timu ya madaktari ya Iran yawasili Lebanon kusaidia wahanga wa hujuma ya kigaidi ya Israel
Sep 18, 2024 08:33Timu ya misaada ya kimatibabu ya Jumuiya ya Hilali Nyekundu ya Iran (IRCS) imewasili Lebanon kusaidia wahanga wa shambulio baya la kigaidi la utawala wa Israel katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Qalibaf: Ugaidi ni sehemu ya hulka ya kutenda maovu ya utawala wa Kizayuni wa Israel
Sep 18, 2024 08:17Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amekutaja kuuwa watu wasio na hatia kuwa ni sehemu isiyotenganishika ya tabia na hulka ya kutenda maovu ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Rais Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran: Hatupendi vita, tunatetea haki zetu
Sep 18, 2024 02:43Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Iran haijawahi kuwa, na wala haitakuwa mwanzishaji vita vyovyote vile na akabainisha kwamba: "wiki ijayo tutatetea haki za wananchi wa Iran katika Umoja wa Mataifa".