-
Iran: Jamii ya kimataifa iwawajibishe ‘vinara wa mauaji ya kimbari’ wa Israel
Sep 02, 2024 04:26Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametoa wito wa kuwajibishwa "viongozi watenda jinai" wa utawala wa Israel kwa jinai zao dhidi ya raia wa Palestina katika Ukanda wa Gaza, huku vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wa eneo hilo lililozingirwa vikiendelea bila kusitishwa.
-
Hali mbaya ya hewa, ukungu ndio chanzo kikuu cha ajali ya helikopta ya Rais Raisi, ripoti ya mwisho yasema
Sep 02, 2024 00:08Uchunguzi wa mwisho wa Jeshi la Iran kuhusu ajali ya helikopta iliyosababisha kifo cha Rais Ebrahim Raisi na wenzake kadhaa mwezi Mei mwaka huu unasema tukio hilo lilisababishwa na hali mbaya ya hewa iliyojumuisha ukungu mkubwa.
-
Araghchi asisitiza kuendelea sera za Iran za kuunga mkono muqawama
Sep 01, 2024 23:33Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza ulazima wa kuendelezwa sera za taifa hili za kuunga mkono Muqawama na mapambano dhidi ya utawala ghasibu wa Israel.
-
Iran: Ndoto ya Wazayuni ya kuuzima moja kwa moja Muqawama wa Palestina haitatimia katu
Sep 01, 2024 07:41Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, hakuna shaka yoyote kwamba ndoto ya Wazayuni ya kuuzima moja kwa moja Muqawama wa Palestina haitatimia katu, bali ni kinyume chake, yaani mwisho wa mlolongo wa jinai za Wazayuni utakuwa mwanzo wa ushindi wa taifa vumilivu na la Jihadi la Palestina na kushindwa na kusambaratika kikamilifu utawala wa Israel.
-
Pezeshkian: Umoja ndio njia bora ya kukabiliana na matatizo ya kiuchumi
Sep 01, 2024 03:52Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amesisitiza haja ya kulinda umoja wa kitaifa miongoni mwa mirengo na makundi mbalimbali ya kisiasa ili kuwatumikia vyema zaidi wananchi.
-
Rais wa Iran kushiriki mkutano wa BRICS nchini Russia
Aug 31, 2024 09:35Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian anatazamiwa kushiriki Mkutano wa BRICS wa 2024 nchini Russia karibuni hivi.
-
Iran yakanusha madai ya kuwapa mafunzo askari wa Russia huko Ukraine
Aug 31, 2024 08:18Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amepuuzilia mbali madai kwamba mwanajeshi wa Jamhuri ya Kiislamu amekuwa akitoa mafunzo kwa wanajeshi wa Russia katika ardhi ya Ukraine.
-
"Wazayuni, kizingiti cha kupatikana uthabiti katika umma wa Kiislamu"
Aug 31, 2024 07:51Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Amani na Usalama ya Kimataifa ya Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema utawala wa Kizayuni ndicho kikwazo kikuu cha kupatikana uthabiti na maendeleo endelevu katika ulimwengu wa Kiislamu na eneo la Asia Magharibi.
-
Iran: Nchi za Kiislamu zinapaswa kuungana ikwa ajili kukabiliana na mauaji ya kimbari huko Gaza
Aug 31, 2024 04:30Mjumbe wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Kigeni ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) ametoa wito wa kuwepo umoja miongoni mwa nchi za Kiislamu kwa ajili ya kukabiliana na jinai na mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza.
-
Iran: Utawala wa Israel ni kikwazo kikubwa kwa amani na chanzo cha mivutano katika eneo
Aug 31, 2024 01:00Abbas Araghchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameukosoa vikali utawala ghasibu wa Israel na kusema ukatili wake usiokoma kuwa ndio sababu kuu ya kuongezeka hali ya wasiwasi na migogoro katika eneo la Asia Magharibi.