-
Mtazamo wenye uono mpana wa Ayatullah Khamenei kuhusu namna ya kuamiliana na adui katika sera za nje
Aug 28, 2024 08:02Matamashi ya Ayatullah Khamenei katika kikao chake cha kwanza na Rais na Serikali ya Awamu ya 14 yanadhihirisha mtazamo wenye uono mpana wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu namna ya kuamiliana na adui.
-
Iran yaionya Israel isikichezee Kibla cha Kwanza cha Waislamu
Aug 28, 2024 03:24Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametoa onyo kwa utawala wa Kizayuni na hasa serikali ya hivi sasa ya watenda jinai ambayo imepanga njama za kikhabithi dhidi ya Msikiti wa al Aqsa ambao ndicho Kibla cha Kwanza cha Waislamu ikiwaambia Wazayuni wasilichezee eneo hilo takatifu.
-
Watu wa Qur'ani Iran wawalaani wanajeshi wa Israel kwa kuivunjia heshima Qur'ani
Aug 28, 2024 00:59Jamii ya Wanaharakati wa Qur'ani nchini Iran wawamewalaani vikali wanajeshi wa utawala wa Kizayuni kwa kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu katika Msikiti mmoja wa kaskazini mwa Ukanda wa Ghaza.
-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Uzalishaji ndio ufunguo wa matatizo ya kiuchumi
Aug 27, 2024 08:49Katika kikao chake cha kwanza na Rais na Serikali ya Awamu ya 14, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameeleza mambo muhimu kama vile kuzingatia vipaumbele vya haraka kama mfumuko wa bei na ughali wa bidhaa, ulazima wa kuwepo utawala wa sheria katika masuala ya mtandao na kuzingatia uzalishaji kuwa ndiyo ufunguo wa matatizo ya kiuchumi.
-
Iran yaalani hujuma ya kigadi nchini Burkina Faso
Aug 27, 2024 08:29Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran amelaani shambulio la kigaidi huko Burkina Faso ambapo watu zaidi ya 200 wameuwa.
-
Pezeshkian: Waislamu lazima waungane kukomesha jinai za Israel
Aug 26, 2024 23:05Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kuna haja kwa mataifa ya Waislamu pamoja na nchi nyingine duniani kuungana na kuwa na sauti moja katika kuushinikiza utawala wa Kizayuni wa Israel na waungaji mkono wake kukomesha mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza.
-
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Kupita wakati si kwa manufaa ya utawala wa Kizayuni na waungaji mkono wake
Aug 26, 2024 22:43Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Licha ya uungaji mkono mkubwa wa nchi za Mgharibi, zikiongozwa na Marekani kwa utawala ghasibu wa Israel, lakini utawala huo umepoteza uwezo wake wa kutabiri wakati na mahala pa kufanyika hata mashambulizi madogo kabisa, fakaifa kuyazuia.
-
Iran yakosoa misimamo ya kindumakuwili ya Uingereza kuhusiana na vita vya Gaza
Aug 26, 2024 08:41Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini London umekosoa misimamo ya kindumakuwili ya serikali ya Uingereza kuhusiana na matukio ya eneo la Asia Magharibi na kusema, huku London ikionyesha kidhahiri kuwa inaunga mkono usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza, lakini imefumbia macho jinai za kutisha zinazofanywa na utawala wa Israel dhidi ya watu madhulumu wa Palestina.
-
Iran na Saudi Arabia zataka kuongezwa juhudi za kusitisha jinai za Wazayuni Gaza
Aug 26, 2024 04:28Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia zimesisitiza juu ya kuongezwa juhudi za kusitisha jinai na mauaji ya kimbari yanayotekelezwa na utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Kipaumbele cha sera za kigeni za Iran; nchi jirani, eneo na muqawama
Aug 25, 2024 08:45Waziri mpya wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi amesema kuwa kipaumbele cha kwanza katika sera za kigeni ni nchi jirani na kipaumbele cha pili ni kupanua uhusiano na Afrika, Amerika ya Latini na Asia Mashariki.