-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Matembezi ya mamilioni ya watu ya Arubaini ya Imamu Hussein AS hayajawahi kutokea katika historia
Aug 23, 2024 10:11Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema, matembezi adhimu ya mamilioni ya watu ya Arubaini ya Imamu Hussein AS hayajawahi kutokea katika historia.
-
Iran yawakamata magaidi 14 wa Daesh wakipanga mashambulizi ya kigaidi
Aug 23, 2024 06:51Wizara ya Usalama wa Taifa Iran imesema imewatia mbaroni magaidi 14 wa kundi la kigaidi la Daesh au ISIS, na hivyo kuzima njama zao za kutekeleza mashambulizi ya kigaidi ndani ya nchi.
-
Iran inaunda makumi ya satelaiti kwa malengo mbali mbali
Aug 23, 2024 06:49Mkuu wa Shirika la Anga za Juu la Iran (ISA) Hossein Salariyeh anasema nchi Iran imepata maendeleo ya ajabu katika sekta ya anga katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita na hivi sasa makumi ya satelaiti zinaendelea kuundwa nchini kwa malengo mbalimbali.
-
Kiwewe cha Wazayuni katika kusubiri jibu la kushtukiza la Iran
Aug 23, 2024 06:49Kadiri jibu la Iran kwa kitendo cha kigaidi cha utawala wa Kizayuni wa Israel linavyozidi kuchukua muda mrefu, ndivyo taathira za kimaada, kiroho na kisaikolojia zinavyozidi kuongezeka na kuwaumiza Wazayuni.
-
Eslami: Sekta ya nyuklia ya Iran iko katika kiwango cha kimataifa
Aug 23, 2024 03:05Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesema: Sekta ya nyuklia ya Jamhuri ya Kiislamu ni moja ya fakhari za taifa hili. Shughuli za nyuklia za Iran ni za kiwango cha kimataifa na wale waliokuwa wakibeza na kufifiliza mafanikio hayo, hivi sasa wamelazimika kubadilisha misimmamo yao na kukiri nguvu za Iran katika sekta hiyo muhimu.
-
SEPAH: Operesheni za Muqawama dhidi ya Israel zitaendelea
Aug 22, 2024 23:27Kaimu wa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesema kuwa, maadamu hujuma na jinai za Israel zinaendelea, operesheni za harakati za Muqawama nazo kamwe hazitosimama. Ameongeza kuwa, baada ya Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa, majigambo ya utawala wa Kizayuni yalisambaratika kikamilifu.
-
Araqchi ataja masharti ya Iran kwa ajili ya kuhuisha uhusiano na nchi za Ulaya
Aug 22, 2024 09:39Katika mahojiano yake ya kwanza na chombo cha habari cha nje, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araqchi amesisitiza kuwa anataka kudhibiti mvutano iliyopo na Marekani na kujenga upya uhusiano na nchi za Ulaya kwa masharti.
-
Kan'ani: Marekani inaunga mkono ugaidi wa kiserikali wa utawala wa Kizayuni wa Israel
Aug 21, 2024 22:50Nasser Kan'ani Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa leo hii ukweli mchungu na wa kusikitisha unashuhudiwa mbele ya walimwengu wa matabaka yote kuanzia raia wanaoteseka na kudhulumiwa katika eneo la Magharibi mwa Asia, kaskazini mwa Afrika hadi kwa wanafunzi wa vyuo vikuu barani Ulaya na Marekani kwamba serikali ya Marekani inaunga mkono waziwazi ugaidi wa kiserikali wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Umoja wa Mataifa wapongeza ukarimu wa Iran kwa wakimbizi
Aug 21, 2024 22:48Afisa msimamizi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR hapa nchini Iran ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu kwa kuwapokea kwa ukarimu na kuwa mwenyeji wa wakimbizi.
-
Mawaziri wa Rais Pezeshkian waidhinishwa na bunge la Iran
Aug 21, 2024 09:59Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imehitimisha mjadala kuhusu baraza jipya la mawaziri la serikali ya awamu ya 14 kwa kuidhinisha mawaziri 19 waliopendekezwa na Rais Masoud Pezeshkian.