-
Zimbabwe, kituo cha mwisho cha safari ya Rais wa Iran barani Afrika
Jul 14, 2023 02:14Rais Ibrahim Rais wa Jamhuri ya Kiislamu jana Alkhamisi aliwasili Harare mji mkuu wa Zimbabwe ambapo alikutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa nchi hiyo akiwemo mwenyeji wake, Rais Emerson Mnangagwa.
-
Rais wa Iran awasili Zimbabwe, kituo cha mwisho cha safari yake ya kiduru Afrika
Jul 13, 2023 10:01Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewesili Harare mji mkuu wa Zimbabwe kikiwa ni kituo chache cha tatu na cha mwisho katika safari yake hii ya kiduru ya kuzitembelea nchi kadhaa za Kiafrika.
-
Rais Raisi: Iran na Zimbabwe zimeazimia kuendeleza biashara
Jul 13, 2023 14:17Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mkutano na waandishi wa habari akiwa pamoja na mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe kuwa Iran na Zimbabwe zimeazimia kuendeleza biashara.
-
Rais wa Iran apokewa Zimbabwe kwa kaswida ya "Salam Farmande"
Jul 13, 2023 11:34Rais wa Iran apokewa Zimbabwe kwa kaswida ya "Salam Farmande"
-
Waislamu wa Uganda walivyompokea Rais wa Iran +VIDEO
Jul 13, 2023 11:20Katika safari yake nchini Uganda, kabla ya kuelekea Zimbabwe, Rais Ebrahim Raisi alipokewa na shangwe na furaha na Waislamu wa nchi hiyo.
-
Safari ya Rais wa Iran nchini Uganda+VIDEO
Jul 13, 2023 11:09Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa dini mbalimbali nchini Uganda akiwemo Mufti Mkuu Sheikh Shaaban Ramadhan Mubaje
-
Safari ya Rais Ebrahim Raisi wa Iran nchini Uganda
Jul 13, 2023 10:40Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumatano jioni aliwasili Kampala katika safari rasmi ya siku mbili nchini Uganda ikiwa ni katika duru pili ya safari yake ya kikanda katika bara la Afrika. Safari hiyo imefanyika kwa mwaliko rasmi wa Rais Yoweri Museveni wa Uganda.
-
Rais wa Iran awashambulia Wamagharibi kwa kutetea vitendo vichafu vya ushoga
Jul 13, 2023 09:40Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyashambulia madola ya Maagharibi kutokana na hatua yao ya kutetea vitendo vichafu vya ushoga na mahusiano ya kingono ya watu wa jinsia moja.
-
Raisi: Iran iko tayari kuhamisha uzoefu wake na kubadilishana mafanikio na Uganda
Jul 13, 2023 08:05Rais wa Iran ameashiria kuanza kazi ofisi ya uvumbuzi na teknolojia ya Iran huko Uganda na uwezo mkubwa mzuri wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran khususan katika nyanja za tiba, sayansi, teknolojia na kilimo, na kueleza kuwa Iran ipo tayari kuhamisha uzoefu wake katika nyanja hizo na katika kalibu ya kustawisha ushirikiano wa kibiashara na kiuchumi kati yake na Uganda.
-
Hati 4 za ushirikiano zatiwa saini mbele ya Marais wa Iran na Uganda
Jul 13, 2023 04:33Viongozi wa ngazi ya juu wa Iran na Uganda wamesaini hati nne za ushirikiano mbele ya Marais wa nchi mbili hizo.