-
Kata'ib Hizbullah yatoa wito kwa wanamuqawama kujiandaa kwa 'vita' ili kuinga mkono Iran
Jan 26, 2026 03:06Harakati ya Kata’ib Hizbullah ya Iraq (Brigedi za Hizbullah) imetangaza kuwa iko tayari kushiriki katika vita vyovyote vitakavyotokea ili kuilinda Iran, ikitoa wito kwa wanamapambano duniani kote kujiandaa kwa ajili ya hilo.
-
Nyayo za Madola ya Kigeni katika Machafuko ya Iran: Simulizi ya Nyaraka ya Uingiliaji Kati wa Marekani na Israel
Jan 26, 2026 00:53Leo tunafuatilia nyayo za kuhusika Marekani na Israel katika ghasia na machafuko ya karibuni nchini Iran..
-
Katika mazungumzo na US, Misri yahimiza Israel iondoke Ghaza, ifungue tena kivuko cha Rafah
Jan 26, 2026 00:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Badr Abdelatty ametoa wito kwa utawala wa kizayuni wa Israel kujiondoa katika Ukanda wa Ghaza na kufungua tena kivuko cha mpakani cha Rafah kuliingana na makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyoanza kutekelezwa Oktoba mwaka jana.
-
Axios: Mazungumzo ya ana kwa ana kati ya Putin na Zelensky 'yako karibu sana' kufanyika
Jan 26, 2026 00:19Tovuti ya habari ya Axios imeripoti kuwa Rais wa Russia Vladimir Putin na mwenzake wa Ukraine Vladimir Zelensky wanaweza kukutana kwa mazungumzo ya ana kwa ana muda si mrefu ujao ikiwa mazungumzo yanayoendelea kati ya nchi zao na Marekani yataendelea kufanyika.
-
Dkt. Ghebreyesus: Marekani ilitoa sababu za uongo kujiondoa katika WHO
Jan 26, 2026 00:18Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema, sababu zilizotajwa na Marekani kujiondoa kwenye shirika hilo la afya la Umoja wa Mataifa si za kweli na akatahadharisha kuwa uamuzi huo utaifanya dunia isiwe salama zaidi.
-
Bangladesh yalaani India kumruhusu waziri mkuu mtoro Hasina kutoa hotuba ya hadhara
Jan 26, 2026 00:18Bangladesh imesema "imeshangazwa" na "kushtushwa" kuona India imemruhusu waziri mkuu wa zamani mtoro Sheikh Hasina kutoa hotuba ya hadhara mjini New Delhi.
-
Uchunguzi wa Maoni: Wajerumani wengi wanamuona Trump kama tishio kwa nchi yao
Jan 25, 2026 23:07Uchunguzi wa maoni unaonyesha kuwa Wajerumani wengi wanamtambua Rais wa Marekani, Donald Trump, kama tishio kwa nchi yao.
-
Greenland; kulegeza msimamo Trump au kubadilisha mbinu?
Jan 25, 2026 23:04Vyanzo vya habari, vikiwanukuu maafisa wa NATO na Rais wa Marekani Donald Trump, vimeripoti kuanza mazungumzo kati ya Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi NATO, Marekani na Denmark kuhusu kisiwa cha Greenland pambizoni mwa mkutano wa Davos.
-
Usitishaji vita wa kimaonyesho Gaza; kifuniko cha Wazayuni cha kuendeleza jinai
Jan 25, 2026 08:25Mkurugenzi wa Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa katika maeneo ya Palestina ameonya kuhusu kuendelea kuuawa raia wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Mwendesha Mashtaka wa Sudan: Tumewafungulia kesi mamluki 122 wa kigeni
Jan 25, 2026 08:14Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Sudan ameeleza kuwa kesi za jinai zimefunguliwa dhidi ya takriban mamluki 122 wa kigeni wanaopigana bega kwa bega na wanamgambo waasi wa Rapid Support Forces (RSF), huku watoto 135 waliosajiliwa kama wapiganaji katika vita hivyo wakirejeshwa kwa familia zao.