-
Mashambulizi ya mabomu ya mapipa yalazimisha watu wengi kuhama makazi yao Sudan Kusini
Jan 25, 2026 08:06Mapigano mapya nchini Sudan Kusini yamewalazimisha watu zaidi ya 180,000 kuyahama makazi yao, huku mashuhuda wakizungumzia utumiaji holela wa mabomu ya mapipa na raia kukimbilia kwenye vinamasi, huku hali tete ya ukosefu wa amani ikitanda nchini humo.
-
Kamanda Mkuu wa Polisi ya Iran: Tutaendelea kuilinda Jamhuri ya Kiislamu
Jan 25, 2026 07:54Brigedia Jenerali Ahmad Reza Radan, Kamanda Mkuu wa Polisi ya Iran amesema kuwa wananchi na maafisa wa Iran watailinda Jamhuri ya Kiislamu hadi tone la mwisho la damu yao.
-
Maporomoko ya udongo yaongezeka Indonesia; waokoaji wapambana kunusuru watu waliokwama
Jan 25, 2026 07:49Wafanyakazi wa huduma za uokoaji nchni Indonesia leo wameendelea kufanya juhudi kubwa ndani ya matope kufuatia maporoko ya udongo yaliyoikumba nchi hiyo kwa lengo la kutafuta makumi ya watu ambao hadi sasa bado hawajulikani walipo.
-
Waandamanaji Stockholm walaani mashambulizi ya Israel dhidi ya Gaza licha ya usitishaji vita
Jan 25, 2026 07:42Wananchi wa Sweden wamefanya maandamano mengine katika mji mkuu wa nchi hiyo, Stockholm, kulaani mashambulizi ya Israel yanayowalenga Wapalestina katika Ukanda wa Gaza licha ya kufikiwa mapatano ya usitishaji vita.
-
Brigedia Jenerali Vahidi: Tumejiandaa kutoa jibu kali kwa chokochoko za maadui
Jan 25, 2026 03:49Naibu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), Brigedia Jenerali Ahmad Vahidi, amesema Iran itatoa jibu kali kwa uchokozi na uvamizi wowote wa maadui zake.
-
Shambulio la droni la Israel laua watoto 2 Gaza
Jan 25, 2026 03:46Watoto wawili wameuawa shahidi katika shambulio la Israel kaskazini mwa Ukanda wa Gaza, katika ukiukaji wa hivi karibuni wa makubaliano ya kusitisha mapigano baina ya utawala huo katili na Harakati ya Muqawama ya Hamas katika eneo hilo la Wapalestina linalokaliwa kwa mabavu.
-
Maandamano yashtadi US baada ya raia mwingine kuuawa Minneapolis
Jan 25, 2026 03:29Maajenti wa serikali kuu ya Marekani wamemuua kwa kumpiga risasi mtu mwingine mjini Minneapolis huku kukiwa na msako mkali dhidi ya wahamiaji, na kushadidisha maandamano na wito mpya kwa Rais Donald Trump kuwaondoa mara moja maafisa hao waliojizatiti kwa silaha katika jiji hilo lililoko katika jimbo la Minnesota.
-
Hizbullah: Tulikwamisha askari 75,000 wa Israel kusini mwa Lebanon
Jan 25, 2026 03:28Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah, Sheikh Naim Qassem amesema wanamapambano wa Muqawama waliwazuia askari 75,000 wa jeshi la adui Mzayuni kusonga mbele kusini mwa Lebanon wakati wa vita vya karibuni zaidi.
-
Trump aitishia Canada kwa ushuru wa 100%, kisa biashara na China
Jan 25, 2026 03:27Rais wa Marekani, Donald Trump ametishia kuitoza Canada ushuru wa asilimia 100 iwapo Waziri Mkuu wa Canada, Mark Carney atatekeleza makubaliano ya kibiashara na China.
-
Iran yasema imeongeza nguvu ya makombora yake tangu vita na Israel
Jan 25, 2026 00:42Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Iran amesema kuwa Iran sasa ina makombora bora na imara zaidi kuliko yale yaliyotumika wakati wa vita vifupi kati yake na utawala wa Kizayuni Israel mwaka uliopita.