-
Mapigano ya jeshi na wanamgambo RSF yaendelea huku walimwengu wakishindwa kuzipatanisha pande hasimu
Nov 03, 2025 06:38Vita haribu na angamizi vya Sudan viinaendelea huku jamii ya kimataifa ikioonekana kushindwa kuupatia ufumbuzi mgogoro huo wa ndani.
-
Tetemeko la ardhi laikumba Afghanistan, makumi waripotiwa kufariki dunia
Nov 03, 2025 06:36Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.3 kwa vipimo vya richter limeikumba Afghanistan usiku wa kuamkia leo na kusababisha vifo vya makumi ya watu.
-
Umuhimu wa kusimama kidete Muqawama wa Lebanon katika kukabiliana na njama za Marekani na Israel
Nov 03, 2025 06:19Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Lebanon Hizbullah Sheikh Naim Qassem, amesisitiza kuwa Hizbullah haitasalimu amri kwa vitisho vya Marekani kwa sababu nchi hiyo si mpatanishi asiyeegemea upande wowote na inaunga mkono utawala wa Kizayuni na uvamizi wa Israel.
-
Iran: Tumejiandaa zaidi hivi sasa hata kuliko kabla ya vita vya siku 12
Nov 03, 2025 03:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi amesema kwamba Jamhuri ya Kiislamu imejiandaa zaidi kwa vita hivi sasa kuliko hata ilivyokuwa kabla ya vita vya siku 12 akisisitiza kwamba Tehran haiziamini ahadi za Israel wala Marekani lakini iko tayari kwa mazungumzo ya kiuadilifu yaatakayolinda haki zake zote za nyuklia.
-
Israel imeshakanyaga mara 194 makubaliano ya kusitisha vita Ghaza
Nov 03, 2025 03:04Ofisi ya Vyombo vya Habari ya Ghaza imetangaza kwamba jeshi vamizi la Israel limeshakanyaga mara 194 makubaliano ya kusitisha vita huko Ghaza yaliyofikiwa tarehe 10 Oktoba kwa ajili ya kumaliza mauaji ya kimbari ya miaka miwili yaliyokuwa yanafanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi wa Ghaza.
-
Jeshi la Uganda lazima mashambulizi ya waasi magharibi mwa nchi
Nov 03, 2025 03:03Jeshi la Uganda UPDF limetangaza kuwa, limefanikiwa kuzima mlolongo wa mashambulizi yaliyoratibiwa vyema na vikundi vyenye silaha ambavyo vilishambulia vituo vya kijeshi na polisi katika maeneo ya magharibi ya nchi hiyo.
-
Rais Tshisekedi: Mazungumzo ya amani na waasi wa M23 yataanza tena Doha
Nov 03, 2025 03:02Rais Felix Tshisekedi wa DRC amesema kuwa, mazungumzo ya amani kati ya serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na kundi la waasi la Machi 23 (M23) yataanza tena wiki ijayo huko Doha, mji mkuu wa Qatar.
-
Serikal ya Lebanon hatimaye yachukua hatua za kupambana na Israel
Nov 03, 2025 03:02Baada ya kupita miezi kadhaa ya kutochukua hatua, hatimaye serikali ya Lebanon imeamua kupambana na Israel kwa kupeleka jeshi lake mpakani ili kukabiliana na uchokozi wa mara kwa mara wa utawala wa Kizayuni kwenye mipaka yake ya kusini.
-
Araqchi akadhibisha madai ya Marekani na Israel kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran, asema ni uongo mtupu
Nov 02, 2025 23:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi, kwa mara nyingine tena amepinga hatua ya Marekani na Israel ya kuhalalisha mashambulizi dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran, akiitaja kuwa ni uongo mkubwa.
-
Hamas: Tumeshikamana na ahadi za kurejesha miili ya mateka wa Kizayuni
Nov 02, 2025 22:54Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa taarifa na kutangaza kwamba, bado inaheshimu na kushikamana na ahadi zake za kukabidhi kwa Israel miili ya mateka wa Kizayuni waliouliwa na utawala wa Kizayuni wakati wa mashambulizi yake ya miaka miwili kwenye Ukanda wa Ghaza.